Namshauri mchumba wa Sabaya aolewe mapema Sabaya amechafuka na haajiriki Tena na hataweza kumbeba na uzuri ule

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,415
30,925
Kifupi sabaya ni zero empty na hakuna future Wala connection kuwa Nate. Yule mwanamama wake ni mlimbwende na bado Ana ndoto na maono makubwa aachane na sabaya ; sabaya ameshafeli maisha ni zero set aachane nae aolewe na mwanaume mwenye future.
 
Jela ni Kama hospitali au polisi kwa mwanaume Ila sabaya ulizidi mbwer wewe.
 
Huenda akashinda rufani na kurudi uraiani. Ila ndoa huvurugika sana tu mwanandoa mmoja anapokosekana kwa muda mrefu nafasi yake hujazwa na mwingine kwa siri au kwa uwazi, rasmi na isivyo rasmi. Huyo mama asilani hataweza kusubiri mpaka miaka 30 bila hitaji la kindoa haiwezekani labda kama ana nadhiri ya kuishi maisha ya kutofanya jambo hilo mpaka mume wake atoke jela
 
Kifupi sabaya ni zero empty na hakuna future Wala connection kuwa Nate. Yule mwanamama wake ni mlimbwende na bado Ana ndoto na maono makubwa aachane na sabaya ; sabaya ameshafeli maisha ni zero set aachane nae aolewe na mwanaume mwenye future.
Alizoea kula za kunyonga za kuchinja hawezi!

Alichekelea kula pesa alizishutumu Sabaya ,Wakatanua watakavyo,Sasa ni muda wake wa kutanuliwa atulie vzr.
 
Kifupi sabaya ni zero empty na hakuna future Wala connection kuwa Nate. Yule mwanamama wake ni mlimbwende na bado Ana ndoto na maono makubwa aachane na sabaya ; sabaya ameshafeli maisha ni zero set aachane nae aolewe na mwanaume mwenye future.
Wanawake unawajua wewe.Atamtunzaje sasa akiwa jela.Kesho tu ashamsahau analiwaza na mwingine.
Siti ya daladala haiwezi kosa mtu
 
Wacha watimize matakwa yao. Jiwe alitaka wasaliti wasiishi. Where is he now ?!

Yana mwisho . Kina Amin, Mobutu , Bokassa etc leo watu hawataki hata ubin wao
Kuna lile takataka lao lilisema wasaliti wauwawe,eti kupinga mawazo ya mtoa riziki wao ni usaliti.
Waunga juhudi mwisho 2025 chama kinarudi kwa wenyewe hatutaki viraka.
 
Sasa hapo mkuu umetoa ushauri au umeamua kuandika tu nawe uonekane umepost uzi? Huyo binti bila hata kumshauri ni wazi tu kwamba atadanga na njemba nyingine, hawezi msubiri sabaya hata kwa mwezi mmoja tu. Ulicho fanya ni kama kumshauri Bob Marley kuvuta Ndumu.
 
Huenda akashinda rufani na kurudi uraiani. Ila ndoa huvurugika sana tu mwanandoa mmoja anapokosekana kwa muda mrefu nafasi yake hujazwa na mwingine kwa siri au kwa uwazi, rasmi na isivyo rasmi. Huyo mama asilani hataweza kusubiri mpaka miaka 30 bila hitaji la kindoa haiwezekani labda kama ana nadhiri ya kuishi maisha ya kutofanya jambo hilo mpaka mume wake atoke jela
Kaolewe wewe mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom