Namshangaa sana Mke wangu, kila house girl wetu anataka awe na Sura na Umbo baya

Wakuu habari zenu.

Nimekuwa nikimshangaa sana mke wangu kila tunapohitaji house girl anataka awe na sura mbaya na mwenye umbo lisilo na mfano na mara zote huwa najaribu kumuuliza ni kwa nini lakini majibu yake hayana mashiko.

Yapata wiki mbili sasa mdada wetu wa kazi ambaye tulikuwa nae kwa miaka mitatu ameomba aende nyumbani kwao. Sasa tuna mchakato wa kupata binti mwingine wa kazi, cha kuvutia kila mdada tunaeletewa ni mrembo kwelikweli. Kwa tabia za mke wangu anaishia kuwakataa wakati mimi moyo unaniuma kuona mke wangu anavyosurubika na mikazi yote home pekee yake, hadi siku zingine mpaka naona hata aibu kuomba chakula cha usiku.

Sasa naomba ushauri wenu, nimwache tu apambane na mikazi mwenyewe japo hili lisilipendi sana nishasema linanicost ktk game night, au nimshurutishe awakubali hao warembo wanaoletwa japo hili moyo wake haupendi.

Vilevile ningependa kujua kutoka kwa wanaume wenzangu, hii ni kwa mke wangu tu au na kwenu?. Vilvile wanawake wa Jf nisaidieni, kwenu ikoje au mke wangu ana tatizo la kipekee?
Hii tabia iliwahi kuniletea shida kubwa na wife. Tuliletewa house girl mtoto wa Kihaya shuzi hiloo wife akamkataa!!! Niliforce lakini wapi, mwisho wa siku wife alimkatia tiketi akamrudisha kwao! House girl aliyemleta nashindwa hata kumuelezea maana ntaonekana namkosoa Mungu.
 
binafsi nishaleta hausg mzuri.niakasema nwmaamini mume wangu
yule dada akatongozwa na kuwakubalia mashemeji zangu kadhaa.
nilivyogundua nikamtimua.
nikampigia simu mume kipimdi hicho hakuwepo home wangu kwamba namuondoa.ALIMIND SANA akanisumbua eti nimrudishe.
nilimchana nikamwambia nikuelekeze kwao uende???
mkatiane ?
ila hamlelei mwanangu.
ki ukweli niliona kabisa hakua na nia njema
hongera sana we ninkamanda
 
hongera sana we ninkamanda
Sijajua sana na nafasi yako kwanini achepuke
wanaume wwngi wanapenda kuonja kila watakacho.anakulinda na analinda ndoa yenu.anakulinda na mengi.nyie kichwa cha chini kikishaanza kuwaza hata hamjali madhara ya mbeleni.mnaweza kiachana watoto wanapata tabu kwa ajili ya hausgel kwa hiyo kaona ni bora akuepushie majaribu.
muelewe tafadhali
Ila kweli ndo maana small head inaweza simama bila mahusiano na big head sasa hapo ndo mambo yanaharibika Thx nimevuka hizo hatua na majaribu
 
Wakuu habari zenu.

Nimekuwa nikimshangaa sana mke wangu kila tunapohitaji house girl anataka awe na sura mbaya na mwenye umbo lisilo na mfano na mara zote huwa najaribu kumuuliza ni kwa nini lakini majibu yake hayana mashiko.

Yapata wiki mbili sasa mdada wetu wa kazi ambaye tulikuwa nae kwa miaka mitatu ameomba aende nyumbani kwao. Sasa tuna mchakato wa kupata binti mwingine wa kazi, cha kuvutia kila mdada tunaeletewa ni mrembo kwelikweli. Kwa tabia za mke wangu anaishia kuwakataa wakati mimi moyo unaniuma kuona mke wangu anavyosurubika na mikazi yote home pekee yake, hadi siku zingine mpaka naona hata aibu kuomba chakula cha usiku.

Sasa naomba ushauri wenu, nimwache tu apambane na mikazi mwenyewe japo hili lisilipendi sana nishasema linanicost ktk game night, au nimshurutishe awakubali hao warembo wanaoletwa japo hili moyo wake haupendi.

Vilevile ningependa kujua kutoka kwa wanaume wenzangu, hii ni kwa mke wangu tu au na kwenu?. Vilvile wanawake wa Jf nisaidieni, kwenu ikoje au mke wangu ana tatizo la kipekee?
Kwanza nikupe hongera kwa kumjali mkeo,hongera kwa kumuonea mkeo huruma kwa kusulubika na kazi za nyumbani

Kuna watu hawaoni thamani za wake zao,kwa chochote kile

Kuhusu msichana wa kazi,ni jukumu lake amchague anae mhitaji
 
Upande wa pili wa shilingi pamoja na kuunga mkono hoja huenda iko namna wote wewe na yeye kuna tatizo la uaminifu. Chunguz wanawake wenye wivu sana na wanaume zao kuna kitu wanaficha kwa upande wake akihisi na mwenzio ni hivyo. Fungua macho vizuri mkuu
Nashukuru nitaufanyia kazi ushauri huu.
 
Hii tabia iliwahi kuniletea shida kubwa na wife. Tuliletewa house girl mtoto wa Kihaya shuzi hiloo wife akamkataa!!! Niliforce lakini wapi, mwisho wa siku wife alimkatia tiketi akamrudisha kwao! House girl aliyemleta nashindwa hata kumuelezea maana ntaonekana namkosoa Mungu.
Pole mkuu, ila sijui kwa nini wenzetu wanatuwazia hata pasipo nia ya kutenda.
 
kwani mkuu Ligaba tuseme tu ule ukweli wetu kutoka moyoni mfano mkeo akitaka houseboy akaaachana na ishu za housegirl

then anatafuta houseboy say ni shimbe shombe house boy wa watu bila kusahau urefu wa haja plus six pack natural kabisa utaruhusu mkuu?
 
Hii tabia iliwahi kuniletea shida kubwa na wife. Tuliletewa house girl mtoto wa Kihaya shuzi hiloo wife akamkataa!!! Niliforce lakini wapi, mwisho wa siku wife alimkatia tiketi akamrudisha kwao! House girl aliyemleta nashindwa hata kumuelezea maana ntaonekana namkosoa Mungu.
kwani mkuu tracebongo lengo la kuwa na housegirl ni nini?

uzuri au ubaya wa mdada wa kazi una mahusiano gani na ufanyaji wa kazi?
 
Mi kwangu yeyote tunaepata tunamkubali tu na mme wangu, na hiyo ni kwsbb sina wasi wasi nae. Kikubwa ni mtu wa kusaidia kazi
 
kwani mkuu Ligaba tuseme tu ule ukweli wetu kutoka moyoni mfano mkeo akitaka houseboy akaaachana na ishu za housegirl

then anatafuta houseboy say ni shimbe shombe house boy wa watu bila kusahau urefu wa haja plus six pack natural kabisa utaruhusu mkuu?
Hamna shida mkuu kinachotakiwa afanye kazi iliyomleta.
 
Wakuu habari zenu.

Nimekuwa nikimshangaa sana mke wangu kila tunapohitaji house girl anataka awe na sura mbaya na mwenye umbo lisilo na mfano na mara zote huwa najaribu kumuuliza ni kwa nini lakini majibu yake hayana mashiko.

Yapata wiki mbili sasa mdada wetu wa kazi ambaye tulikuwa nae kwa miaka mitatu ameomba aende nyumbani kwao. Sasa tuna mchakato wa kupata binti mwingine wa kazi, cha kuvutia kila mdada tunaeletewa ni mrembo kwelikweli. Kwa tabia za mke wangu anaishia kuwakataa wakati mimi moyo unaniuma kuona mke wangu anavyosurubika na mikazi yote home pekee yake, hadi siku zingine mpaka naona hata aibu kuomba chakula cha usiku.

Sasa naomba ushauri wenu, nimwache tu apambane na mikazi mwenyewe japo hili lisilipendi sana nishasema linanicost ktk game night, au nimshurutishe awakubali hao warembo wanaoletwa japo hili moyo wake haupendi.

Vilevile ningependa kujua kutoka kwa wanaume wenzangu, hii ni kwa mke wangu tu au na kwenu?. Vilvile wanawake wa Jf nisaidieni, kwenu ikoje au mke wangu ana tatizo la kipekee?
Mzee wewe utakuwa ni kicheche na mkeo anajua alipokutoa
 
Back
Top Bottom