Namshangaa rais kikwete kuhusu hotuba yake!!

kamonga

Senior Member
Feb 13, 2008
170
33
Nakiri hadharani kwamba sijaelewa sehemu kubwa ya hotuoba ya rais ya mwisho wa mezi huu. katika haya yalionigusa na kufanya niandike hapa ni yafuatayo:-

Rais amedai kua kuna watoto ambao bado hawajatambuliwa na wazazi wao (idadi sijanukuu kwa nina imani ni mchakachuaji) ila nina jiuliza what is the plausible explanation for parents not to identify their children? UNLESS they themselves are not alive!!!!

narudia hivi kuna mzazi ambaye mpaka ss hajui mtoto wake alipo na nasumbuka kutafuta? au wazazi hao pia wamekufa? au ndo kuchakachuliwa kwa idadi kamili ya walio kufa. mimi binafsi hainiingii akilini, tena nashangaa sana!!!
wanajamii mnisaidie nilielewe hili.
 
Idadi kuchakachuliwa ni jadi hapa TZ. Utakuta hao miili yao ilipelekwa motuaries kama unidentified bodies (mara nyingi na vyombo vya dola) kisha hakuna ufuatiliaji. Hivi kulikuwa na dawati linaloratibiwa na serikali kuoorodhesha watu waliopata hayo masaibu ikiwemo kupotea? Three weeks later uwezi kusema krahisi tu kuwa watoto sijua walikuwa 8 (sina uhakika) hawajatambuliwa hii nchi ina matatizo gani jamani? Hivi kweli this president of ours huwa an-question wanayomwambia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom