Namsaport Lady JAY dee 100% "MOYO KIZA KINENE HUWEZI KUJUA...." | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namsaport Lady JAY dee 100% "MOYO KIZA KINENE HUWEZI KUJUA...."

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The only, Nov 23, 2011.

 1. The only

  The only JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Asalam alleikhum waungwana !

  Jamani naileta kwenu hii ,Jamaa mmoja mtumishi wa umma hapa Kigoma ameishi na mkewe kwa mapenzi mazito kwa muda wa miaka 20 wamebahatika kupata 4 children sasa ishu imekuja kulipuka hivi karibuni ,mama alipandwa na malaria ya kichwa akawa anasema watoto wote si wa jamaa ni wa true love wake wa o level yuko morogoro pia ana akaunti ya siri benki moja (jina kapuni) alipopona mkewe jamaa fasta kaenda benki kakuta ni kweli ana abt 25 mil ,na kuhusu morogoro huyu mama hujifanya ana mambo ya kuuza vinyago na ana safari nyingi moro,jamaa kaenda kupima ni kweli watoto wote si wake.sasa mimi THE ONLY nakubali MOYO WA MTU MSITU huwezi kuujua ni kumwomba mungu tu,Jamaa amekuwa mlevi sugu japo nduguze wana jitahidi kumfariji ,mwanamke kakimbia,kamwalibia maisha kaka wa watu kuanzisha familia mpya mchezo at age of 40's.

  Jamani sasa sjui tunafanyeje kuepuka haya.
   
 2. Tausi.

  Tausi. Senior Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mmmmmhhhhh,
  Kweli MOYO WA MTU NI NYIKA,
  Kwa nini? huyo mwanamke hakumzalia hata mtoto 1
  huyo mwanaume?
  Au mwanaume hana kizazi?????
  Ndio sababu ya kumfanya mwanamke apate watoto sehemu
  nyingine??.
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  40s hajachelawa sana mwambie apunguze/aache ulevi.


   
 4. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,640
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  ishu ni kua biological father au? mwambieni jamaa aache ushamba, hao watoto ni wake kwani yeye ndio kawa babayao tangu wakiwa tumboni mwa mama yao.. mpaka hapo walipo, to be a father is more that giving ur sperms!
   
 5. Kambaku

  Kambaku JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,986
  Likes Received: 2,898
  Trophy Points: 280
  Kaka unasema tu kwa vile hayajakukuta!

  Temea mate chini ndugu yangu
   
 6. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Khaaaaa, hakyanani nammiminia gani
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Dah kweli amemfanyia unafiki mbaya mimi nikisema nachukia mapenzi huwa mna-niimindi hapa kuna watu wana mioyo mibaya na ya kishetani balaaa unapoingia nae kwenye mahusiano/uchumba/ndoa mwisho wa siku anauacha moyo wako kwenye msala/machungu/mfadhaiko /msinyao usio na mfano.

  Ingekuwa heri kama mungu angeweka kitu umpasue mtu moyoni uone kama kuna ukweli kabla hujamuweka moyoni na kussetle nae mpe pole sana mwambie anitafute
   
 8. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kwanza yafaa tujiulize,hivi inawezekanaje miaka yote hiyo mwanaume anaishi na mkewe na asiweze kupata hata mtoto mmoja wakati anaishi na mkewe zaidi kuliko huyo true love?
  Ukiangalia kwa undani inawezekana kabisa mwanaume huyu hana uwezo wa kuzaa na ndio sababu ya mwanamke kupata watoto kwa mwanaume mwingine,hapa naona tatizo kubwa lipo kwa wanaume wengi ambao huwa hawapendi kwenda kupima na kujua kama wana uwezo wa kuzalisha mbegu za uzazi.
  Kwa kuwa yamekwishatokea kinachofuata hapo ni kumuomba Mungu tu kwani hakuna anayejua maisha waliyokuwa wanaishi kabla ya tukio hilo na hapa tuna mwisho wake tu ila mwanzo wake hatuujui.
   
 9. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Hao watoto ni wake! period!

  Yaani hapo mwanamke asepe tu lakini watoto sitakaa niwaache.........................ila wakifikisha umri wa kuwa watu wazima nitaweleza ukweli wao wenyewe waamue!

  Dah aisee kweli hujafa hujaumbika..............msisem hivyo; sasa kama mama alitumia kinga muda wote akiwa na mume na anategesha mimba wakati hana kinga akiwa kwa jamaa wa pembeni......................hivi Mume wa halali hawezi kuanzisha kesi hapo akadai kisheria atambulike kuwa ni baba halali na kuwadai fidia hao washenzi..................hizo 25 m ziwe kifuta machozi!
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145

  Siku zote huwa tunawaambia usimwamini mwanamke hata kidogo angalia sasa yaliyo mkuta.
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hommie umegundua watoto sio wako unaendelea kumtunzia mwanaume mwenzio ili iweje? Unawapeleka kwa baba yao.
   
 12. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Daima nakubali..moyo wa mtu ni kiza kinene!!
   
 13. n

  ngokowalwa Senior Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapo Smile umenena ushauri mzuri huyu mtu anahitaji kusaidiwa kabla mambo hayajaharibika kichwani
   
 14. The only

  The only JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  kaka kitendo cha kumwambia mkeo mkapime huwa ni roho ngumu.
   
 15. The only

  The only JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  kwakweli sometime ni ile hali yenu nyinyi dada zetu kutotaka kujitegemea kimaisha hivo kuliplace uvivu wa kushindwa kuwajibika mnajikuta mnaolewa na msiemkusudia unagundua long choice mko ndoana ndo kinachotokea.
   
 16. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Mmmmh huyu mwenzetu nae kazidi watoto wote wanne??
  Mie huwa nasema Wanaume ni makatili lakini
  ukikuta mwanamke katili ni katili kweli si mchezo
  Sasa hapa utasemaje??
   
 17. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyo mwanamke atakua CCM
   
 18. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Hii ishu Mtambuzi inatakiwa atoe ushauri!
   
 19. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #19
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,640
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  ha ha ha haaaaaaaaa lol:lol:
   
 20. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #20
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Hommie kuwa baba si lazima watoke kwenye mfuko wako wa uzazi; na tena utawapa msongo wa maisha ya ajabu watoto ambao hawana hatia; hili limeshatokea; Dunia itakuheshimu kwa ujasiri huu!

  na ukizingatia kule home kuwa na watoto ni faida; kwanini nimpe faida mtua mabaye hastahili; kama angestahil Mungua angempa huyu mke aliyemzalisha bana!


  Yeye amevizia atumie mgongo wangu!
   
Loading...