Namripoti Kadinali Pengo kwa chuki dhidi ya Wayahudi na kumpenda Hitler

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Alichokiongea majuzi kilikuwa dhahiri kabisa, kwamba Hitler na Mussolini wanaonewa na historia na kwamba walifanya mazuri sana tena akaweka na kebehi kwa Jews

Huyu mzee inaonekana hata wasouth africa walivyokuwa wanapambana alikuwa anawaona washamba sana kwamba wanahangaika ya nini ilihali wanajengewa mahospitali na barabara

Na report kwa organisations zinashoghulika na ANTI SEMITISM kumhusu huyu Cardinal wa Tanzania catholic church anaye sympathise na Adolf Hitler na Mussolin

Pesa za burebure zimewalevya sana hawa watu,they are clueless and totally out of touch

Naanza na email kwenda kwa OPHIR REVACH anisaidie ku spread dunian kote wajue KWAMBA CARDINAL PENGO NI MFUASI WA HITLER NA MUSSOLINI

updated: subtitled video ya mzee pengo
 
Hivi nyinyi vijana hamsomi historia au ndio mnahemkwa tu na dhana zenu kwamba ukristo na uyahudi ni ndugu moja.Msichokijua ni kwamba kanisa katoliki lilishiriki kwa nguvu zote ktk kuwaangamiza wayahudi na ni hivi karibuni tu ndipo uhusiano wa kijuujuu uliporudishwa baina yao,nasema wa kijuujuu kwa sababu wayahudi hawaliamini kabisa kanisa katoliki.

Mnaodhani Kardinali kapotea jueni mmepotea nyinyi kwani alichokisema ndio imani ya ndani kabisa ya viongozi wa kanisa hili ambayo wengi wa waumini wa kawaida hamtambui.

Na kwa upande mwingine krismasi inakuja ombea ikukute huko Israel halafu uone au kusikia kama kuna kengele ya kanisa inapigwa au sijui miti ya krismasi inauzwa au imepambwa ktk majengo,ni marufuku na ukijidai we kichwamaji utapambana na mkono wa sheria zao.mpo
 
Alichokiongea majuzi kilikuwa dhahiri kabisa,kwamba Hitler na Mussolini wanaonewa na historia na kwamba walifanya mazuri sana tena akaweka na kebehi kwa Jews
Huyu mzee inaonekana hata wasouth africa walivyokuwa wanapambana alikuwa anawaona washamba sana kwamba wanahangaika ya nini ilihali wanajengewa mahospitali na barabara
Na report kwa organisations zinashoghulika na ANTI SEMITISM kumhusu huyu Cardinal wa Tanzania catholic church anaye sympathise na Adolf Hitler na Mussolin
Pesa za burebure zimewalevya sana hawa watu,they are clueless and totally out of touch
Naanza na email kwenda kwa OPHIR REVACH anisaidie ku spread dunian kote wajue KWAMBA CARDINAL PENGO NI MFUASI WA HITLER NA MUSSOLINI
Pengo ni Nazi
 
Ningekuwa na uwezo waarabu na wayahudi ningewafuta kwenye USO was dunia hawa wapumbavu ndio wanafanya dunia isiwe mahala salama,
 
kimsingi kamshutumu Rais kwamba ni dikteta lakini anafanya mambo mengine mazuri.
 
Nimemsikiliza, sikuona panapounganisha udikteta wa Tz unaoongelewa na maendeleo ya vitu. Udikteta hauhusiani na maendeleo ya vitu.
Kamsema Hitler kwa ubaya wake na Musolini kwa kuleta tiba ya malaria, hivyo sioni alipomsifia au kuwakejeli wayahudi.
 
Duh! Huyu Mzee anabahati sana speech nzima ipo kwa kiswahili, vinginevyo angekisikia. Kwa hiyo kuhilikisha watu milion 6 its okay, kwa sababu chinjachinja Hitler alifanya mengine mazuri
Mbona haulalamiki babau zako waliouwawa na kuteswa na wazungu na warabu, wayahadi wamewalevya sana, mnawaona kama mungu wenu.Toeni tongotongo hakuna wayahudi wanaowapenda waafrika ila waaafrika mnapenda kujipendekeza.Netanyahu karudisha waafrika na mipango kibao ya kuwahujumu waafrika kule Islael bado mnawaona wa maana. Haata JKN aliwagundua kuwa sio watu wazuri.
 
Back
Top Bottom