nampongeza sanajohn heche kwa kufanya kazi kwa ushirikiano na serikali hongera sana.

Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,453
4,933
Ni mara kadhaa namuona comfortably akishirikiana na mawaziri kutoa changa moto za wananchi wake namoongeza sana kwa hilo, ndicho tunacho hitaji ,ukisha chaguliwa kuwa kiongozi siasa weka fanya kazi kwa ushirikiano na seriakli yako.
Sio wengine wakiona viongozi wakuu wamewatembelea kwenye majimbo yao wao hawahudhurii vikao eti kisa sio wa chama chake nadiriki kusema huo nu ujinga ulio tukuka.
 
Back
Top Bottom