Nampongeza Rais Samia kwa kukubali kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania

Baba wa taifa mwalimu Julius Kambalage Nyerere yeye baada ya kupata uhuru alifuta uchifu hapa Tanganyika na Zanzibar lakini leo mama anarudisa historia ya utawala wa kiasili wa babu zetu.

Chifudom na kingdom ndiyo walikuwa viongozi wa siasa hapa Tanganyika na Afrika kwa tendo hili mimi nampa biG apu mama kwa kuonyesha kuwa anauwelewa mkubwa kwani kama ujui ulikotoka uwezi kujua unakokwenda.

Kuwakubali machifu ni kuenzi mila na tamaduni zetu za kiafrika hivyo mama amefanya jambo kubwa na la kihistoria, Machif walisimamia mambo yote kabla ya kuja wageni kutoka Ulapa na Arabia yakiwemo ya kijamii kama mdoa, vyakula, ibada, maombi, heshima, uzalendo, dawa na mengine mengi.

Na sayantifiki profu kuwa babu zetu walikuwa na Mungu nyuma 1900 kurudi nyuma babu zetu waliishi miaka ya kawaida 150 kuendelea.

Sijui kwa nini siupendi uchifu
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom