Nampongeza Mbowe kwa kuwa na wafuasi watiifu wasiosikia wala kuona madhambi yake

Status
Not open for further replies.

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,581
2,937
Ndugu zanguni,

Juzi hapa jamvini sote tuliona live mwenyekiti wa Chadema mbowe jinsi alivyochanwa live kwa kutumia nafasi yake ya uongozi wa upinzani bungeni KUB kwa kuamuru mbunge wa viti maalum akatize ziara ya kikazi na kumfuata Dubai wajiachie

Sio hilo tu, pia tumeona jinsi walivyochukia mpaka kumvua uongozi zitto kisa eti kasema mahesabu ya chama yachunguzwe

Bila kusahau pale alipokiuzia chama mafuso chakavu kwa bei mbaya sana

Hii ni baadhi tu ya mtiririko wa matukio ya kihuni yanayofanywa na mwenyekiti Mbowe lakini wafuasi wake wambao ni kama vile walikula kiapo cha utii na uaminifu, wakiongozwa na mbeba sumu Ben Saanane wamekuwa wakimtetea na kuporomosha matusi mazito hapa jukwaani wakipinga kila kitu bila aibu

Hii imenifanya nikubali kuwa Mbowe ana ushawishi mkubwa kwa wanachama wake kiasi kwamba hata akitapika watasema kacheua tu

Zamani nilidhani wako kwenye msukule mode, lakini sasa nimeamini kuwa ni watiifu kwa kiongozi wao kimaslahi zaidi

Hongera sana KUB

JITAMBUE!

1005036_647202285321012_1494450703_n.jpg

MORE MONEY MORE TROUBLE, URITHI, ZA MKWE, RUZUKU,SABODO, MICHANGO YA WANANCHI, M4C... BALAA TUPU!
 
Lukosi anza kukemea uchafu wa ccm ndio uukemee wa cdm.....kwako kuna waka moto then unataka kuokoa kwa jirani kunakofuka moshi?
 
Lukosi anza kukemea uchafu wa ccm ndio uukemee wa cdm.....kwako kuna waka moto then unataka kuokoa kwa jirani kunakofuka moshi?

kwani kuna kosa limefanyika?sasa kuna sababu gani ya kuwa na wapinzani wanao pigania kuwa kama ccm?
 
Tangu ulipoanza kushabikia na kutumikia CHAMA CHAKAVU CHA MIZIGO akili zako na hoja zako zimekuwa chakavu na mzigo ukiwa bado una umri mdogo. Ajira yako saivi ni kumtaja Dr. SLAA na MBOWE sijui wasipokuwepo utakula wapi. JITAMBUE
 
Tangu ulipoanza kushabikia na kutumikia CHAMA CHAKAVU CHA MIZIGO akili zako na hoja zako zimekuwa chakavu na mzigo ukiwa bado una umri mdogo. Ajira yako saivi ni kumtaja Dr. SLAA na MBOWE sijui wasipokuwepo utakula wapi. JITAMBUE
Here we go again...
 
Uunarudia, tuko ktk vita ya ukombozi. Haudanganyiki hadi 2015 imepita. Mnajitahidi kutupeleka kando na mkondo lakini tu macho.
 
pttttuuuuuuu!!!!!! mtu mzima ovyooooo....!
Kila siku kujadili watu, mtu mwenyewe wa kudowea kubeba mizigo, ungekuwa wa maana si ungerudi Nchini, upambane kihoja wanachi wakusikie? We kila siku ukichoka mzigoni unaingia JF kumtafuta Mbowe, Slaa au CDM. Si kosa lako, ni maumivu ya kutimuliwa yanaku....
 
isaidie ccm kuiongezea mvuto kwa watu kwan nasikia njombe kusini imekataliwa pia, achana na chadema mbulula wewe.

kumshambulia mbowe au dr slaa hairudish mvuto wa ccm ulopotea zaid ni kuongeza mvuto kwa chadema
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom