Nampongeza Magufuli kwa kula chakula cha Tsh. 5000 kwenye mgahawa

WUOTE="Michael Ngusa, post: 15787820, member: 249604"]Wadau,

Kwenye magazeti niliyoyakuta mezani, moja ya taarifa ni kwamba Mheshimiwa Rais Magufuli, aliiingia kwenye mgahawa pale Airport ya Mwanza na kula chakula cha Ths 5000 yeye na mkewe = Tsh 10,000. Mgahawa huo unauza kikombe cha chai Tsh. 200, ina maana ingekuwa ni asubuhi...Rais na mkewe wangetumia Tsh. 400 kwa vikombe viwili vya chai. Huku ni kubana matumizi na mfano wa kuigwa.

Hili jambo Obama hulifanya mara kwa mara, kuingia kwenye mgahawa kama raia wengine na kukaa, kula na kusalimia wananchi bila mbwembwe za walinzi au shamrashamra za mapokezi.

Hapa Kazi Tu.[/QUOTE]
Huwa najiuliza mara nyingi sana kwa nini watu wengi wa ukanda uleee,,. huwa hawana akili ,ni wajinga wajinga na sijapataga jibu hadi leo ila naendelea kupata ushahidi na vithibitisho kila siku kuwa ni kweli hawanaga akili kabisa sijui kwa nini
 
Back
Top Bottom