Nampenda xana

mjombo's

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
494
83
Wana jamvi, tangu niingie humu jamvini nimejikuta as days went on huyu dada anahit sana in my mind mpaka nasujudu kuweka bayana jamvini ili yeye mwenyewe ajue kuwa kwa jinsi tu alivyo amekua someone so impressive to me and she z making me so flirt, she z notin else bt PRETTA, am not sure kwamba naweza nikawa napenda palipopendwa bt since wanajamvi mwaweza kua full knowledged na huyu kisura nadhani nitajua which path shuld I follow, ni vziri sana yy mwenyewe pia akisema neno juu ya hili.
 
Preta kuja kipande hiki! Kijana kafunguka zaidi ya zip!

Alaf...................................mwambie kabisa........

Kijana huogopi ban?
 
Hapo kwenye mrembo umepatia ila................................................................
Sidhani kama utaonekana tena humu jamvini,ngoja tumuombe mungu akusaidie!

Hongera kwa kufunguka!

ni ktk kupooza tu speed ya mapigo ya moyo juu ya huyu mrembo
 
Mimi kaka yake, una sh. ngapi? una Tembo card au Master card? Fanza maandalizi familia yetu matata hatuna masikhara kwenye habari ya kumkabidhi mtu Malkia!
 
Mimi kaka yake, una sh. ngapi? una Tembo card au Master card? Fanza maandalizi familia yetu matata hatuna masikhara kwenye habari ya kumkabidhi mtu Malkia!
nadhani hayo yote yatafahamika tu mara baada ya preliminary procedure kufahamika ndipo maswala ya mastercard and so 4th yatajishughulikia, usiwe na hofu kitendo cha mm kufunguka jamvini ni ishara tosha tu kwamba ni fit kucompete na public wen my mrembo wll spik out abt her consent
 
Mashallah mamito Preta, uko wapi totoz ya Yaeda? Njoo pande hii kuna brazamen1 kakuzimikia sn. Mwenye 4n #ake an2mie nimcall fasta kabla kjn ya wa2 hajafa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom