mjombo's
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 494
- 83
Wana jamvi, tangu niingie humu jamvini nimejikuta as days went on huyu dada anahit sana in my mind mpaka nasujudu kuweka bayana jamvini ili yeye mwenyewe ajue kuwa kwa jinsi tu alivyo amekua someone so impressive to me and she z making me so flirt, she z notin else bt PRETTA, am not sure kwamba naweza nikawa napenda palipopendwa bt since wanajamvi mwaweza kua full knowledged na huyu kisura nadhani nitajua which path shuld I follow, ni vziri sana yy mwenyewe pia akisema neno juu ya hili.