nampenda sn lkn yy ni headache kila cku

Disminder girl

Senior Member
Nov 26, 2012
156
26
jaman nina mwanaume wangu nampenda sn lkn yeye haonyeshi km anakupenda hlf ana wivu vby sn yan acone ht nimepigiwa cm na m2 yoyote huo ugomvi wk ni balaa sasa jaman kwel ananipenda huyo?maana me nimechoka na tabia zaje za wivu.
 
ah kumbe wewe umechoka na wivu wake....wabi usipokee simu za wanaume hahaha.
unajua mara nyingi mtu kwenye mapenzi lazima uwe na wivu bana na pia inawezekana umempa sababu mpaka jamaa anakuwa suspicious na mienendo yako. so jaribu kuwa open zaidi.
 
Wivu ndo kipimo cha mapenzi dia... Halafu kwanini wanawake hampendi kuonyeshwa wivu... Hili nalo ni tatizo.
 
Unataka uambiweje? Anakupenda sana ndio maana anakuonea wivu si eti?

Maana hujaweka clue yoyote inayoonesha hakupendi.

Tuambie nini unachotaka ili tukupe kati ya
1: assuarance ya upendo wake kwako au
2: justification ya wewe kumuacha
Coz girl we are equiped with all that!
 
jaman nina mwanaume wangu nampenda sn lkn yeye haonyeshi km anakupenda hlf ana wivu vby sn yan acone ht nimepigiwa cm na m2 yoyote huo ugomvi wk ni balaa sasa jaman kwel ananipenda huyo?maana me nimechoka na tabia zaje za wivu.

we nawe,ss wivu c ndo kipimo cha mapenzi au unatakaje?

Ukitaka kujijua kuwa unazeeka au umepitwa na wakati...ni pale unapokereka na lugha kama hizi!
 
Ukitaka kujijua kuwa unazeeka au umepitwa na wakati...ni pale unapokereka na lugha kama hizi!

hahaha mkuu labda wanabania wino wa keyboards zao...huwa wanakera sijui ndio aina
gani ya typing hiyo!!!
 
hahaha mkuu labda wanabania wino wa keyboards zao...huwa wanakera sijui ndio aina
gani ya typing hiyo!!!

daddy longform inamaliza cartridge haraka.... ndio maana simu yangu kila siku inastaki kwa sababu hiyo!
 
jaman nina mwanaume wangu nampenda sn lkn yeye haonyeshi km anakupenda hlf ana wivu vby sn yan acone ht nimepigiwa cm na m2 yoyote huo ugomvi wk ni balaa sasa jaman kwel ananipenda huyo?maana me nimechoka na tabia zaje za wivu.

Yaani na hivyo ulivyo mzuri mtoto wa kike eenh jicho kama wala kungu, chuchu saa moja asubuhi, kishonde kama kirungu cha gia hivyo vyote vyamfanya jamaa aone wivu loh...
We ndio wake mwandani bhanaa asipokuonea wivu wewe unataka amuonee wivu yule Mnyalu beki 3 wenu...
Hebu tuliza boli mpendane na mtoto wa mwanamke mwenzioo
 
daddy longform inamaliza cartridge haraka.... ndio maana simu yangu kila siku inastaki kwa sababu hiyo!

hahaha daughter hiyo kitu yafaa kwenye chatting ili kupunguza blah blah...ila huku huwapa tabu watu wazima wasiojua maTwitter na maFacebook...
 
jaman nina mwanaume
wangu nampenda sn lkn yeye haonyeshi km anakupenda hlf ana wivu vby sn
yan acone ht nimepigiwa cm na m2 yoyote huo ugomvi wk ni balaa sasa
jaman kwel ananipenda huyo?maana me nimechoka na tabia zaje za
wivu.

mwanzo umesema haoneshi kukupenda, ulitaka akuoneshaje kukupenda?wivu tu unaonesha anakupenda au we huoni hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom