Nampenda Sana Yesu mpaka namuonea wivu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,532
44,650
Wakuu huyu mwalimu asiye na kifani ameyagusa Sana maisha yangu kwa kweli Ni njia,kweli na uzima ukubali au ukatae.mahubiri yake hasa ya pale mlimani yanaendelea kutufaidi sote.kuna muda inafika huwa nampenda Sana kiasi kwamba sitaki wengine mumupate huyu yesu yaani Naona Kama mkimpata mtafaidi sana kuliko hata mimi.
 
angalia husije ukanywa JIKI maana majirani zetu wanaongoza kwa VISA mara kafufuliwa wengine wamekunywa JIK basi alimladi tafarani 🤣🤣🤣
 
Yesu yupi? Maana wapo yesu wengi.

Back
Top Bottom