Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 15,689
- 14,596
Woyooooooooooooooooo!
Nawapenda wote pia
Asanteni Kwa Birthday Wishes, am Blessed kuzaliwa leo sikukuu ya wanawake Duniani
Uuuuuwi kama najiona leo nitakavyo turn-up woyoooooo ππππ
Nimetimiza miaka 50 kamili leo... Show nzima itakuwa Instagram leo na YouTube Kesho mpaka j2 unakosaje labda?
Heri ya sikukuu ya WANAWAKE Duniani wanawake wenzangu wote Jamii Forums
Ushauri wangu Kwa Wanaume:
Wanaume acheni kuwanyanyasa wanawake jamaa .... Wapendeni na kuwathamini kama mnavyopenda Mama zenu
Honey 50thebe si utakuwepo Masaki Leo ee?
Mdogowangu Smart911 na WiFi mahondaw najua hamtakosa