Nampenda sana mdada anajiita kapeace!

Mwana kondoo

Senior Member
May 21, 2017
180
175
Habari zenu,

Kuna mdada nimekua nikimfatilia sana comments zake na nimegundua nimetokea kumpenda sana.
Anajiita kapeace, haki nampenda natamani awe mke wangu wa ndoa.

Niko tayari kwa chochote kwa lolote na kama ana mpenzi au mchumba, natanguliza samahani kama nitakua nimemkwaza kwa kutoa ushuhuda wa moyo wangu.

Nakupenda sana kapeace!
 
We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one. Read our Privacy Policy.
 
Kweli nimegundua wanaume tuna upendo uliomkuu kwa watoto wa kike.

Mpaka njemba ina ahidi kutoa chochote du! Dada mkubalie kama huna mtu. Na kama unaye mme usisubutu kumuacha.
 
Aisee huyu binti anazimikiwa na watu wengi sana humu ndani....
 
Back
Top Bottom