Nampenda sana ila hiki kikwazo kinaninyima raha

Hi wakuu poleni na mihangaiko!

Mie ni kijana sijaoa Ila nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja, nina kazi maisha yanaenda.

Huyu dada tupo wote more than 1.5 year, kwakweli mtoto wa watu ananipenda, ananiheshimu mno, ananijali, na nimcha Mungu na Mimi nampenda aswaa!

Tumepanga tutaishi wote in near future, Ila kitu kinachoniuma kwa mylove wangu ni mnene Sana, yaani ni chibonge na Mimi nina mwili wa kawaida tu, tukiwa wote utadhani mtu na mdogo wake, Ila najitahidi uyu mrembo apungue lakini yeye hana ushirikiano. yaani kwao wako vizuri anakula hovyo hvyo japo anajua Ni mnene.

Anakula vyakula vinavyo promote body weight kuongezeka, kila nikimuambia ajitahidi apunguze kula hovyo yeye anasema hawezi. Nampenda ananipenda, jamani nifanyeje huyu mtoto apungue uzito maana kadiri anavyokuwa anazidi kuongezeka yeye ata hashtuki.

Msaada wakuu, au nipige chini maana mwanamke mnene sometimes inaboa.
Pambana na huba lako.
 
Unahangaika bure kabisa, tiba mbona unayo? Wewe mwambie unamuacha! Na umuache kweli kwa muda wa mwez mmoja! Atapungua sana ni kwa faida yake! Ila ujiandae kisaikolojia

Njia ingine, mwambie akakope pesa sehemu umwambie utazilipa halafu zingua, mbona atapungua.

Ingine ,mchane live alieee kabisa, mwambie huo unene ni mbaya halafu nahisi namfahamu! Maana hata makalio hana ananenepa juu tuu! Na minyama kama yote! Mwambie aache kula hovyo
 
Back
Top Bottom