Nampenda Mtangazaji wa Tv I Mimi Mars

Inanambo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
3,986
2,765
Huyu Binti Mrembo Mimi Mars wa TV1 ananikoga moyo kwa umahiri wake Wa kipindi cha Weekend Gossip
Hakika anaweza kipindi kwa jinsi anavyotia ladha. Watangazaji wengine Wa kike igeni mfano wa huyu Binti
Huwa naacha kila kitu kumsikiliza. Mwenye CV yake please naomba.
 
Ni umahiri gani we umeuona.....wa kukusanya vipande vya udaku kutoka sources nyingine na kuongeza blah blah.
Sema hapo kwenye urembo sawa....nadhani V alitangulia kuzaliwa akakuta familia bado haijachanganyia financially, ndio maana mdogo mtu akampiga bao.
 
Ninampenda tu anavyowasilisha hizo habari za Udaku.
 
Weka picture apa mkuu! Hatumjui uyo kaka,hawa tangazaji ni sana saivi
Mimi-Mars-1.jpg
 
Attachments

  • hqdefault.jpg
    hqdefault.jpg
    15.8 KB · Views: 320
Marehemu Steve Jobs na Bill Gates wana elimu gani vile?!
Una ukoo nao? Mambo ya wazungu unajilinganisha nao. Hao jamaa wametoka first world, hata kama kaishia A level au University Dropout siyo sawa elimu yako ya third world. Wewe elimu unaichukia nini au unaota kkuwa kama Bill Gates mvumbuzi wa Microsoft products? We unafikiri aliota
Hizo products bila elimu? Steve Jobs naye alivumbua Apple baada ya kusoma soma.
 
Huyu Binti Mrembo Mimi Mars wa TV1 ananikoga moyo kwa umahiri wake Wa kipindi cha Weekend Gossip
Hakika anaweza kipindi kwa jinsi anavyotia ladha. Watangazaji wengine Wa kike igeni mfano wa huyu Binti
Huwa naacha kila kitu kumsikiliza. Mwenye CV yake please naomba.
Ex wng kipindi tupo secondary
 
Endelea kupenda tu, wenzetu wapo sayari ya mars wanafanya utafiti wa uwepo wa uhai huko na chanzo cha maisha ya mwanadamu, watanzania katika ubora wetu mapenzi ndio mtaji na ndio kila kitu..
 
Ni umahiri gani we umeuona.....wa kukusanya vipande vya udaku kutoka sources nyingine na kuongeza blah blah.
Sema hapo kwenye urembo sawa....nadhani V alitangulia kuzaliwa akakuta familia bado haijachanganyia financially, ndio maana mdogo mtu akampiga bao.
wote wamezaliwa wamekta familia iko njema baba alikuwa East Africa, then akawa mkurugenzi wa AICC( kituo cha kimataifa cha mikutano Arusha) then baba akaenda nao ubalozini America ambako alikuwa mfanya kazi wa ubalozi, kwa hiyo shida ndogondogo haziku wasumbua.
 
Back
Top Bottom