Nampenda msichana huyu naombeni ushauri, nifanyeje kuwa naye?

Kiwembe 0

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
535
1,000
Kwani huko kwenu kijijin ni kawaida kwa mabinti kuolewa wakiwa na umri huo au chini ya hapo?

Mmekubaliana na huyo binti juu ya ndoa?
Huku vibabu vinaoa hata binti wa 15 yrs
Binti kanikubalia tuanzishe mahusiano na nilishamwambia lengo langu baadaye nimuoe akaniambia sawa

Sasa ndio natafuta ushauri ili week ijayo nikienda kwao nijue cha kufanya badala ya kumvizia vizia
 

Nokia83

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
24,654
2,000
.
IMG_20190721_112347.jpeg
 

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,233
2,000
Sijui wanaume tunakosea wapi siku hizi.

Hakuna anayetaka kufuata taratibu za ndoa.....nenda kwao kama umempenda kawambie wenye binti muelewane
 

Kiwembe 0

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
535
1,000
Sawa mkuu
Ndani ya siku 10 nitaenda kwao kuongea na maza wake
Sijui wanaume tunakosea wapi siku hizi.

Hakuna anayetaka kufuata taratibu za ndoa.....nenda kwao kama umempenda kawambie wenye binti muelewane
 

PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,993
2,000
Nipo kijiji fulani kusini mwa Tanzania. Ni kijana mwenye miaka 30
Nahitaji kuoa sasa, mwezi uliopita nilimpata msichana mwenye miaka 17 nikampenda nikamtokea na kunikubalia ila hadi sasa hatujakutana kimwili

Tatizo ni kwamba binti anaishi na mamaye, hana simu na huwa haruhusiwi kutoka. Pia ninapoishi ni mbali na kwao hivyo nikipata bafasi naenda kumsalimia kwa kuvizia

Naombeni ushauri wenu wakuu
a) Tuweke wazi uhusiano wetu kwa mama ake ili tuwe huru ?

b) Mpango wangu ni kumuoa huyu binti pindi akifikisha 18 yrs ila now nataka niisji nae......Nitumie mbinu gani nifanikishe ?

Shukrani
Everything about you looks and sound suspicious
The avatar
The name
The way you tell
Fixating on the age difference.

Mkuu epuka kuwekwa pending miaka 30. Kapambane na karumbembez
 

Kiwembe 0

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
535
1,000
Everything about you looks and sound suspicious
The avatar
The name
The way you tell
Fixating on the age difference.

Mkuu epuka kuwekwa pending miaka 30. Kapambane na karumbembez
Kivipi mkuu
Binti soyo mwanafunzi
Nitafuata taratibu zote zen akifikisha 18 yrs ndio naoa

Now najipanga kuweka kishika uchumba tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom