Nampenda msichana huyu naombeni ushauri, nifanyeje kuwa naye?

Kiwembe 0

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
535
1,000
Nipo kijiji fulani kusini mwa Tanzania. Ni kijana mwenye miaka 30
Nahitaji kuoa sasa, mwezi uliopita nilimpata msichana mwenye miaka 17 nikampenda nikamtokea na kunikubalia ila hadi sasa hatujakutana kimwili

Tatizo ni kwamba binti anaishi na mamaye, hana simu na huwa haruhusiwi kutoka. Pia ninapoishi ni mbali na kwao hivyo nikipata bafasi naenda kumsalimia kwa kuvizia

Naombeni ushauri wenu wakuu
a) Tuweke wazi uhusiano wetu kwa mama ake ili tuwe huru ?

b) Mpango wangu ni kumuoa huyu binti pindi akifikisha 18 yrs ila now nataka niisji nae......Nitumie mbinu gani nifanikishe ?

Shukrani
 
Luther760

JF-Expert Member
Feb 17, 2019
317
250
Nipo kijiji fulani kusini mwa Tanzania. Ni kijana mwenye miaka 30
Nahitaji kuoa sasa , mwezi uliopita nilimpata msichana mwenye miaka 17 nikampenda nikamtokea na kunikubalia ila hadi sasa hatujakutaba kimwili
Tatizo ni kwamba binti anaishi na mamaye,hana simu na huwa haruhusiwi kutoka
Pia nibapoishi ni mbali na kwao hivyo nikipata bafasi naenda kumsalimia kwa kuvizia

Naombeni ushauri wenu wakuu
a) Tuweke wazi uhusiano wetu kwa mama ake ili tuwe huru ?

b) Mpango wangu ni kumuoa huyu binti pindiakifikisha 18 yrs ila now nataka niisji nae......Nitumie mbinu gani nifanikishe ?

Shukrani
Jina lako sio zuri kiwembe!!!
 
carcinoma

JF-Expert Member
Mar 5, 2017
4,946
2,000
Acha ubakaji mkuu.
Miaka 30 kwa 17..

Kwanza huyo mtoto alitakiwa awe shule sio bazazi kama wewe uwe unammendea
 
kongobelo

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
380
500
Nipo kijiji fulani kusini mwa Tanzania. Ni kijana mwenye miaka 30
Nahitaji kuoa sasa , mwezi uliopita nilimpata msichana mwenye miaka 17 nikampenda nikamtokea na kunikubalia ila hadi sasa hatujakutaba kimwili
Tatizo ni kwamba binti anaishi na mamaye,hana simu na huwa haruhusiwi kutoka
Pia nibapoishi ni mbali na kwao hivyo nikipata bafasi naenda kumsalimia kwa kuvizia

Naombeni ushauri wenu wakuu
a) Tuweke wazi uhusiano wetu kwa mama ake ili tuwe huru ?

b) Mpango wangu ni kumuoa huyu binti pindiakifikisha 18 yrs ila now nataka niisji nae......Nitumie mbinu gani nifanikishe ?

Shukrani
Duh..
Tulia uandike vizuri.
 
Mr pianoman

JF-Expert Member
May 22, 2019
2,123
2,000
Endelea kukomaa tu
tapatalk_1563812120269.jpeg
 
The real Daniel

JF-Expert Member
Jan 5, 2017
1,831
2,000
Fuata utaratibu. Kama hayupo shule, ongea na wazazi wake, kama wakikubali chukua jiko.
Ingawa sidhani kama atakuwa na akili ya kikubwa kuimudu ndoa vizuri. Any way chukua jiko
 
Kiwembe 0

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
535
1,000
Fuata utaratibu. Kama hayupo shule, ongea na wazazi wake, kama wakikubali chukua jiko.
Ingawa sidhani kama atakuwa na akili ya kikubwa kuimudu ndoa vizuri. Any way chukua jiko
Hayupo shule mkuu
Huku ni kijijini umri huu watoto wamekomaa kimaisha

Mkuu yaani nimfuate mama ake nionge nae ? Anaishi na mama'ke
 
The real Daniel

JF-Expert Member
Jan 5, 2017
1,831
2,000
Hayupo shule mkuu
Huku ni kijijini umri huu watoto wamekomaa kimaisha

Mkuu yaani nimfuate mama ake nionge nae ? Anaishi na mama'ke
Kwani huko kwenu kijijin ni kawaida kwa mabinti kuolewa wakiwa na umri huo au chini ya hapo?

Mmekubaliana na huyo binti juu ya ndoa?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom