Nampenda msichana fulani lakini ana boyfriend

Naomba unijibu haya maswali kabla sijatoa muongozo,
je, Lengo lako ni kumuachanisha na njemba yake ili ummiliki wewe? Au unataka tu ajue unampenda ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom