Sasa kwa nini uingilie mapenzi ya watu,tafuta wako
Buffalo44 nakuelewa sana. Been there, ushauri wangu, kuna wazuri zaidi yake. For now unaona huyo ndio mkali, but find another one. If not let's move on to step numero Un.Wakuu kuna mschana nimemfia sana baada ya kukutana naye tour flan hivi za kitaaluma but ana boyfriend wake Nifanyeje kumuingia japo ajue pendo langu.
Hahahaha Unaakili za ajabu mkuu Nataka rafiki kama wewe Vip upo? kuhusu kumfanyia hayo ni mtihani kwangu mkuu anyway ntajitahidi Mkuu.Buffalo44 nakuelewa sana. Been there, ushauri wangu, kuna wazuri zaidi yake. For now unaona huyo ndio mkali, but find another one. If not let's move on to step numero Un.
Kuwa rafiki yake wa karibu, itakuuma but ujue hii vita inauma. Be friends with the boyfriend too. Hapa namaanisha kuwa best friend wa huyo Dada. Kumbuka girls are emotional, ukifikia stage akawa anakuambia matatizo yake, you are golden but usiendekeze sana. Atakuona kama mtu wakuegamia tu.
Numero Deux
Usimponde boyfriend wake hata siku moja. Wewe ukiwa nae akawa analalamika mara Ghost kafanya hivi mara hajanipa hela. Wewe muambie he will come around. At the same time be close to her, give her what Ghost can't.
Numero trois
Treat her like your girlfriend. Mfanyie yote yale ambayo ungemfanyia girlfriend wako. But never say 'I love you'.
Numero quatre
Be unpredictable. Leo kunywa coca, kesho kunywa fanta. Asijuie kinywaji chako. Be adventurous... Usimwambie unajua kucheza, toka nae, Bodaboda ikipita take the stage, move with the beat. Atakuwa surprised. Usimwambie unajua kuchora, mchore. Atakuwa more interested in you.
Numero cinq
Don't do this maana hii vita ya Triangle love haimuachi mtu salama. Kama mke wa mtu sumu, girlfriend wa mtu ni cancer.
Conclusion
Goodluck
-callmeGhost