Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?

Kiukweli nimesoma michango ya wadau mwanzo mpaka mwisho, na majibu yako. Nimefikia hitimisho kwamba huyo dada humwezi. Na utaharibu biashara yako.

Hapa nimejumlisha na comments za ule Uzi ulioambiwa utafute chumba chenye umeme. Kuna vitu vingi vya kukushauri ila mihemuko imeshachukua nafasi. Kila la kheri, nakuombea isiwe kama ninavyowaza.
mapenzi ni sawa na mistar ya zigzag, huwez yatabir!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo umesha create na majibu atakayo kupa hapo hutakuwa na confidence ya kumuattack.
Anza mazoea nae taratibu mfatilie ujue je ameolewa au la. Nenda nae taratibu
Mwanaume ni kuthubutu.

Sent using Jamii Forums mobile app
nimezingatia kila ushaur wa kila mwana JF ulio na mtazamo chanya kuhusu hili swala langu, naamin ntafanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee chapa kaz chalii angu, siku unagonga asbui yake anakupigia "sweety mtumie m3 ile naomba natumaga sn ela ako nakuja mda sio mlefu" Akikufata utaniambia na apo ndo unahamisha kijiwe
 
Back
Top Bottom