Nyoka mwenye makengeza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 870
- 770
biashara ya mpesa huwez miliki demu mkali, tafuta beki 3
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jitahidi kuwa na mazoea nae ya kawaida kadri siku zinavyokwenda kitaeleweka, kila lakheri usiache kulete mrejesho.
wabongo nyie, kila mtu anajiona official zaid ya wengine haya bwanaT
Tatizo umekaa kikolomijekolomije
napenda ulichokiandikaMapenzi hayakimbiliki mkuu...,unaweza kujikuta unakomaa kutafuta hvyo then ukajenga nyumba,
chumbani kitanda kizuri ila ukilala unajisikia upweke na kuwaza mwanamke wakulalanae pamoja..
M-pesa unaidharau wakati mamilioni ya wa Tz inawalisha na kusomesha familia zaobiashara ya mpesa huwez miliki demu mkali, tafuta beki 3
Sent from my iPhone using JamiiForums
mapenzi ni sawa na mistar ya zigzag, huwez yatabir!!Kiukweli nimesoma michango ya wadau mwanzo mpaka mwisho, na majibu yako. Nimefikia hitimisho kwamba huyo dada humwezi. Na utaharibu biashara yako.
Hapa nimejumlisha na comments za ule Uzi ulioambiwa utafute chumba chenye umeme. Kuna vitu vingi vya kukushauri ila mihemuko imeshachukua nafasi. Kila la kheri, nakuombea isiwe kama ninavyowaza.
nimezingatia kila ushaur wa kila mwana JF ulio na mtazamo chanya kuhusu hili swala langu, naamin ntafanikiwaTatizo umesha create na majibu atakayo kupa hapo hutakuwa na confidence ya kumuattack.
Anza mazoea nae taratibu mfatilie ujue je ameolewa au la. Nenda nae taratibu
Mwanaume ni kuthubutu.
Sent using Jamii Forums mobile app
naamin nitaweza, saiz nina 20% bado nakomaa na 80% zilizobakia kumnasa bi dada wa watuJia kumfanya mwanamke awe karibu nawe, ukiweza hilo kumtongoza haiwezi kuwa tabu
jini mahaba huwa wanaangalia na pa kwenda, mimi mwenyewe nini mtu, hv huyo jin akiinijia atakuwa kapotea njia asee!!Isije kuwa kama stori ya jamaa yako alietembelewa na jini mahaba dukani
M-pesa unaidharau wakati mamilioni ya wa Tz inawalisha na kusomesha familia zao
Sent using Jamii Forums mobile app
ni sawa lkn, huoni kama ntaidhurumu nafsi yangu kama nikifanya hivyo!!?Ila ningekuwa kwenye nafasi ya kukushauri, ningekuambia ukomae na biashara na endeleza urafiki wa kawaida.
Kuna faida kubwa kwenye urafiki na mtu mnayeunganishwa naye kibiashara kuliko kuwa wapenzi.