Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?

Mkuu wadada wa mjini watakufilisi, ukitia neno hakatai, kitakachofuata utapigwa invoice ya Milion 10, ukishangaa shangaa na biashara utafunga
 
hivi kuchunguza tabia ya mtu si ni mtihani sana huo!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya jambo moja je yeye ni mtu wawatu?
Kwa maana kama sio mtu wawatu? basi kwa maana sio kila mtu anataka kuzoewa na watu wasio wajua hadi wale watu wakaribu naye tu wanaomjua.
Ila chagua unaweza mwambia akaacha kuja pale na unaweza win kumbe naye alikuwa anakuja kisa wewe so amua kujitosa au dhamini biashara yako.
Ila kama ni upendo wa dhati aisee utakutesa na tamaa pia itakuponza .
 
nitalia mno, ngoja kesho akija nijifanye kama najikuna kumuongelesha kuhusu haya mambozi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
We utaharibu. Muombe kama atakua na nafasi mtoke muende sehemu iliyotulia. Kama atakubali ujue ushavuka hatua ya kwanza. Akikataa usisikitike huyo ni mwanamke anayejitambua hawezi kuwa soft kirahisi hivyo. Anza kutengeneza ukaribu upya huku hakikisha urafiki wenu hauingiliani na biashara yako. Then kwa heahima na taadhima omba tena mtoke baada ya hapo naye atakua ametambua unachotaka kwake sasa itabaki kwake kuamua. Kila la kheri mkuu..

Sorry, upo mkoa gani.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usimtongoze kwanza utampoteza mteja ila jenga nae ukaribu kama friend ili ujue kazi yake au ana mchumba na mamno mengi ukishajua mambo yake mengi ndiobaadae ndio umtongoze ila ukikurupuka utamfukuza mtejja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya jambo moja je yeye ni mtu wawatu?
Kwa maana kama sio mtu wawatu? basi kwa maana sio kila mtu anataka kuzoewa na watu wasio wajua hadi wale watu wakaribu naye tu wanaomjua.
Ila chagua unaweza mwambia akaacha kuja pale na unaweza win kumbe naye alikuwa anakuja kisa wewe so amua kujitosa au dhamini biashara yako.
Ila kama ni upendo wa dhati aisee utakutesa na tamaa pia itakuponza .
nitauma kamba, nikiwa natumbuliwa hili jipu ili maumivu yakinipata nitayamalizia kwa kuing'ata kamba kisawa sawa, ntafanya hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We utaharibu. Muombe kama atakua na nafasi mtoke muende sehemu iliyotulia. Kama atakubali ujue ushavuka hatua ya kwanza. Akikataa usisikitike huyo ni mwanamke anayejitambua hawezi kuwa soft kirahisi hivyo. Anza kutengeneza ukaribu upya huku hakikisha urafiki wenu hauingiliani na biashara yako. Then kwa heahima na taadhima omba tena mtoke baada ya hapo naye atakua ametambua unachotaka kwake sasa itabaki kwake kuamua. Kila la kheri mkuu..

Sorry, upo mkoa gani.?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa sana mkuru, hapo imekaa sawa!!

Nipo mkoani geita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom