nampenda lakini ananichanganya,nifanyaje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nampenda lakini ananichanganya,nifanyaje

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sop sop, Aug 4, 2012.

 1. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  jamani naombeni msaada wenu kuna mwanamke nampenda sana lakini nilichokifanya nimempa namba zangu za simu lakini bado hajanipigia simu na tangu nimpe namba zangu ni wiki moja imepita,je nifanyaje ili kumpata
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  huu mgomo wa walimu
  na uishe sasa........
   
 3. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  mkikua mtaona kawaida tu
   
 4. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mpigie.
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  mnunulie simu na vocha uone kama hatapiga.
   
 6. M

  Moony JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Njoo nikupeleke alipo!
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,545
  Likes Received: 81,981
  Trophy Points: 280
  Hana vocha...soma ushauri wa Kongosho halafu ufanyie kazi utaona simu zake zitaanza kuingia kwa fujo.

   
 8. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  ubaya namba zake sina nilichokifanya nili muandikia namba zangu kwenye kikaratasi kisha nikampatia halafu nikamwambia anipigie..
   
 9. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  hata kubeep,ili nijue namba zake hajafanya hivo
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,545
  Likes Received: 81,981
  Trophy Points: 280
  ooh! kapoteza kile kikaratasi sasa inabidi umtafute na kumpatia namba zako kwa mara nyingine tena, usisahau na kumpatia vocha pia

   
 11. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  simu anayo lakini siange beep tu ili nijue namba zake ili na mimi nimpigie
   
 12. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  mi nahisi labda hana mpango wowote na mimi kwa sababu kama angekuwa na mpango na mimi,basi angekuwa makini na asingekipoteza
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Nahisi makosa ulio fanya ni kutoa namba yako ya simu baada ya kuchukua namba yake, wewe ndio mwenye shida ulitakiwa uombe namba yake alaf huanze kumtafuta! Unaweza ukakuta umeshaifuta!
  Yan unategemea akupigie! Ni vigumu.
  Cha kufanya ni kutafuta jinsi ya kupata namba yake au mtafute kwenye makazi yake!
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,545
  Likes Received: 81,981
  Trophy Points: 280
  Hapana ana mpango nawe kwa sana tu ila kile kikaratasi alikipoteza kwa bahati mbaya si kwa kukusudia

   
 15. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  unajua tulikuwa tunatoka kanisani pamoja basi nikamuomba muomba namba zake za simu akaniambia hajaja na simu na mimi pia sikuwa na simu lakini kwa bahati nzuri huwa natembea na vikaratasi ambavyo huwa naandika namba zangu hivyo nikaamua kumpa nikitegemea atanipigia lakini mpaka sasa bado sijaona hata ka missed call
   
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,545
  Likes Received: 81,981
  Trophy Points: 280
  Kuna haja ya kuzuka tena kanisani Jumapili hii na vikaratasi vyako ili umpe namba yako, kumpatia vocha muhimu pia na kisha ujitahidi upate namba yake.

   
 17. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,001
  Trophy Points: 280
  Kwa nn usijiumize ndugu yangu kama umempa number hajakutafuta tayari hana mpango kama vp tafuta mwingine kwan lazima uwe na huyo ..kumpenda mwanamke asiyekupenda ni sawa kusubiri meli airport by mpoki
   
 18. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #18
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,001
  Trophy Points: 280
  Pole sana best ushauri wangu kwa nn usijiumize ndugu yangu kama umempa number hajakutafuta tayari hana mpango kama vp tafuta mwingine kwan lazima uwe na huyo ..kumpenda mwanamke asiyekupenda ni sawa kusubiri meli airport by mpoki
   
 19. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #19
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,333
  Likes Received: 2,335
  Trophy Points: 280
  Kwa nini usinge kikata kile ki karatasi mu interchange namba zenu.
   
 20. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Jibu mbona unalo tayari, hakutaki
   
Loading...