Nampenda huyu Mhadhiri wa kike, sijui nimweleze au?

wadau wa jamvini, ukweli tumekuwa tukishauriana mengi tena kwa ustarabu na busara ya hali ya juu. Mimi ni mwanafunzi ktk chuo fulan hapa Dar, nimetokea kuwa na hisia za kimapenzi kwa mwanamke mmoja mrembo, mhadhiri mwenye hadhi ya Udokta PhD, Si wamakamu sana bt ni mrembo, mwenye tabasamu la ushawishi. Nashindwa nimweleze au laah! Na sijui ntapomwambia Reaction yake itakuwaje bt NAMPENDA KI UKWELI, Please wadau nisaidieni kwa ushauri, mwenzenu nipo njia panda!

kama utamwambia hisia zako tegemea mawili....kukatalia kistaarabu
au kiukatili na nakupa pole upo mbioni kuidisco mkuu maana wahadhiri
huwa wanaambiana wakukamate......hisia gani hizo sasa si hatari ya kutamani
''mafirstladies'' control yourself bwana.....utapotea kwa hisia za kuku hizo.
 
The Finest, Mbu na Klorokwin..............hebu someni thread kwa umakini mbona mko hivyo nyie?? mie nimemsaidia tu bwana Guninita sijui............. waone vile vichwa vyao loh.

...eheeeee? Kunani tenaaaa?

I_know_the_bible_is_true_sophistry.gif

Mods wakiiona hii utapigwa ban kwa ku reveal ids za watu, shauri yako,...ha ha ha!
 
MBU NIN HICHO? Mimi nimeisha mtosa, naogopa kumface teh! SHULE YANGU NI MAISHA YANGU, NAOGOPA RISKS
 
MBU NIN HICHO? Mimi nimeisha mtosa, naogopa kumface teh! SHULE YANGU NI MAISHA YANGU, NAOGOPA RISKS

Uamuzi mzuri pia............kama ni kweli unampenda kama ulivyoonyesha muombe MUNGU wako akusaidie ukimaliza shule awe bado single na akubali pendo lako.
 
:hail:
Uamuzi mzuri pia............kama ni kweli unampenda kama ulivyoonyesha muombe MUNGU wako akusaidie ukimaliza shule awe bado single na akubali pendo lako.

...Ameen! :A S-frusty2:

:pray::pray2:...

:whoo:
 
HITIMISHO LA THREAD HII; Nimeamua kuweka hisia zangu pembeni na kukoncentrate na masomo yangu, mengine mbele kwa mbele, sitakata tamaa bt kwa sasa mchakato nimesitisha, Najua Roho yangu bado inapenda bt SASA NI ZAMU YA AKILI KUFANYA KAZI. Asanteni wanaJF WOTE KWA USHAURI WENU MZURI, MMENIJUZA, MMENIFUNZA MENGI SANA, REALY UR GREAT THINKERS,!
 
japo nilifanya hitimisho leo nalazimika kukatisha hitisho hilo, jumamos niliattend harusi flan (dada yangu from mama mdogo wangu) alikuwa anaolewa, huko nikamiti na mhadhiri wangu though alikuwa meza ya pemben kidogo. Bahati yangu ilikuwa wkt wa muziki kidogo, nilimfata nikimnyooshea mkono kuashiria tukacheze muziki, hakua mbishi dada wa watu alikubali. pale nilipata muda mzuri wa kucheza nae, nikiwa huru kabisa huku tukizungumza mawili-matatu. Mwisho wa muziki alidai amefurahi kwa kucheza na mimi, alikuwa mpweke eti nimempa faraja then akanipa bussines card yake nimcheki. SASA NIMWAMBIAJE HUYU MDADA? This time she is so friendly! Jeatanielewaje?
 
Hata simba jike anakuwaga mpole tu, kwa hiyo kama yuko single rusha kete yako kijana
 
japo nilifanya hitimisho leo nalazimika kukatisha hitisho hilo, jumamos niliattend harusi flan (dada yangu from mama mdogo wangu) alikuwa anaolewa, huko nikamiti na mhadhiri wangu though alikuwa meza ya pemben kidogo. Bahati yangu ilikuwa wkt wa muziki kidogo, nilimfata nikimnyooshea mkono kuashiria tukacheze muziki, hakua mbishi dada wa watu alikubali. pale nilipata muda mzuri wa kucheza nae, nikiwa huru kabisa huku tukizungumza mawili-matatu. Mwisho wa muziki alidai amefurahi kwa kucheza na mimi, alikuwa mpweke eti nimempa faraja then akanipa bussines card yake nimcheki. SASA NIMWAMBIAJE HUYU MDADA? This time she is so friendly! Jeatanielewaje?
Na wewe una miaka mingapi? usimwambie moja kwa moja anza kuchati nae msg za kirafiki tu na kuulizia habari za masomo then mkizoeana ndio umualike out fulani hivi ukikaa nae masaa zaidi ya mawili kama wewe ni mtu mzima utajua tu anaingilika au haingiliki
 
Miaka inaruhusu kabisa kuwa nae gaga, nadhan anaweka kuwa mbele yangu miaka km 8-7 hivi, si mbaya coz mwil wangu unafunika mengine!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom