Nampenda huyu Mhadhiri wa kike, sijui nimweleze au?

Jamaa yangu mmoja raia wa Guatemala alikwenda na suoervisor wake (wa kike, single) Guatemala wakati wa phase 2 ya PhD yake. Supervisor akarudi na mimba ambayo ilijulikana baadae kuwa ni ya yule mwanafunzi. Hii ilimgharimu yule jamaa kwani supervisor alilazimishwa na Bodi ya Chuo kuwa ajiondoe katika jukumu hilo, na kazi ya kupata supervisor mwingine ilichukua mwaka mzima!
 
angekataa mimba si yake....
 
Mwanamke kaumbwa kupendwa na kutamaniwa sio ishu hata ukimwambia ila fist of ol tafuta no yke then uwe unawasiliana nae hapo ndo utkapopata pa kuanzia kutokana na respnd
 
Dinner yangu vipi
Vocha mbona haujaniwekea kwenye simu
Mafuta kwenye gari mbona haujaniwekea
Bili ya umeme mbona haujanilipia
Kodi ya nyumba mbona haujanilipia inakaribia kuisha
Gari langu haujanipeleka service
Shopping mbona hatujaenda

Hahahah lol
Kama kuolewa ndo hivi
daaahh I quite..lol
 
Hahahah lol
Kama kuolewa ndo hivi
daaahh I quite..lol
Sina nadai haki yangu si unakumbuka kuwa ulisema utakuwa unanipa hivyo vitu vyote hebu muite yule lawyer wetu apitie tena yale makaratasi uone ulipoweka your signature usijifanye umesahau honey l.o.l unatakani :rip::rip::rip:mapema
 
Nashukuru
kusema ofisi ya lawyer
Imewaka moto na makaratasi
yote yameungua..

Sasa waonaje
Nikutoe out leo ijumaa
Tukajivinjari..
sema ndio basi mpenzi..
khaaa tatizo nimekudekeza sana..
 
nashukuru
kusema ofisi ya lawyer
imewaka moto na makaratasi
yote yameungua..

sasa waonaje
nikutoe out leo ijumaa
tukajivinjari..
Sema ndio basi mpenzi..
khaaa tatizo nimekudekeza sana..
hapo kwenye bluu nilitegemea hilo jibu l.o.l
hapo kwenye red ningependa hiyo hali iendelee till death do us apart
 
ANGALIZO: Kimaadili ya kikazi (za ualimu vyuoni) kama unawezavumilia amalize kozi anayokufundisha ndo umtokee kwa sababu ukimweleza na mkawa wapenzi (au la) hatakiwi kukufundisha tena.

Duh! Kama ingekuwa maadaili haya yanafatwa vyuo vyetu vya TZ wanafunzi wengi wangekuwa hawana walimu, na walimu wengi wangekuwa na wanafunzi wachache!
 
Duh! Kama ingekuwa maadaili haya yanafatwa vyuo vyetu vya TZ wanafunzi wengi wangekuwa hawana walimu, na walimu wengi wangekuwa na wanafunzi wachache!
MAMMAMIA kwani hapa kwetu kuna kinachofuatwa basi?? Yaani ninashangaa sana sijui ni kitu gani ambacho tunakifanya na tunakifanya sawa.
 
Kabla hujachukua hatua yoyote, jaribu kumjua kidogo - kama yuko single au tayari ana wake. Hii itakusaidia sana. Ingawa kimaadili "IMEKATAZWA - Msitongoze walimu wenu", ikiwa una uso usio haya unaweza kujaribu bahati yako. Lakini ukielewa kuwa ana wake, kwanza heshimu uhusuano wake na usijiingize, pili usitarajie kupata jawabu la kuridhisha.

ANGALIZO: Sote kwa wakati mmoja au mwengine tulipokuwa adolecents tumewahi kuwa na hisia kama hizo kwa walimu wetu (he&she), lakini uzoefu unaonesha mapenzi ya namna hii yanakaribia kuwa "Impossible Mission", sio kwa sababu ya viwango vyenu vya elimu, bali kwa sababu yeye ni mwalimu na wewe ni mwanafunzi. Kwa maneno mengine, kwa mwanafunzi wa kiume kumpenda na kufanikiwa kwa mwalimu wake (she) inakuwa shida kidogo, tafauti na walimu wa kiume kwa wasichana. Sikuvunji moyo lakini kwanza shughulika na masomo yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom