Nampenda huyu dada ila wazazi wamemkataa kisa mnyakyusa

Jumuia ipi? Au ya kichawi?
Wanawivu wachawi hawapendi ndugu wa mume wala nini halafu wanaroho mbaya sana .
Wachawi kabisaaa halafu sio wazuri kivile.
Halafu ni hivi wanakula paka na mbwa kambali nao.
Au kama unakula hayo mambo basi sawa .
Ila wanaroho ngumu na niwachawi sana yaani nikiolewa na hilo kabila sinawasiwasi nawachawi wachawi wanakaa mbali na sisi.
Ila tulikuwa nao kule kwenye jumuia yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio wanakula hadi paka naomba usikilize huu mkasa kuna mama alimuua mumewe na nibaada ya watoto kukuwa kiasi fulani.
Basi katika kuhukumiwa kwenda jela alikuja mpata mbaba aliyempigania hadi akamtoa akarudi kwa familia yake etio sio kwa makusudi.
Kidogo huyo mama shukurani kwa mke wa yule baba alimwekea limbwata mzee wawatu mpaka mzee wawatu akasahau familia yake.
Alimsomeshea watoto wake nakuwatunza mpaka wote wakajiweza .
Mama wawatu alienda kila kanisa ili amrudishe mumewe nyumbani huyo mama alihangaika miaka kumi natano ndio mumewe akamtambua na kurudi home na huyo mama anakula paka na amewafuga wengi tu kama sita wanene wapo tayari kwa kufungwa.
Daah...! Kuna watu humu mnatoa coment hadi shetani mwenyewe anawakataa. kula paka na mbwa?. Wa kwanza wewe kukusikia. Halafu lazima mtu ujichunge ongea yako. Usiropoke tu. Haiwezekani vitu ukavijua peke yako kwamba hili kabila linakula mbwa na paka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh hakika Leo wkt mechi ya liver ma man u inaendeleaa. Ilikuwaa nazozana na demu wangu wa kinyalyusaa jamaa hawaa watuu mim cjui cyo kwa jeuri alizonazo una unamkuta hana kitu chochote cyo elimu cyo pesa ila cyo. Kwa kiburi hicho tulichatu hadi DKK tisi zinaishaa. Ila hatujaelewana hadi SAS nikamua kuamiacha tu abaki na misimamo yake ila


Ila ctomuacha HV HV huyu bint ntamebesha mimba tu akili amkaee sawaa

Sent using Jamii Forums mobile app
jiandae kulea usikimbie Mr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Sio kawaida Huyu Dada IPO shida pahali.Hivi Mfano wa huyo Mama Ndo anawasema wote?hivi Mimi nikiwa Na jirani mjita amekula paka.Je Basi Ni wajita wote?Dear lord have mercy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kabila halina tatizo, ila familia yake kweli inaweza ikawa tatizo, lakini hata kama familia yake ina tatizo...tunachoangalia... Je, unayetaka kumuoa ana akili? ana upendo? tabia zake vipi? je, unampenda? Sema hiyo ishu ya wazazi hiyo, ni ngumu kuikabili...japo sali tu utafanikiwa! Mungu akipenda utamuoa, asipopenda hutamuoa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetengeneza chuki sana. we Kaka mbaya sana.Oa kwingine tuone na Hayo machozi yake kama utaishi kwa amani.Unaleta Uzi kama huu humu Ili iweje.Kuwachafua tu watu wasio na hatia.Wewe mwenyewe Umesema umedate naye mwaka wa 4Halafu njia ya kumuacha Ndo hii? Chozi lake utalilipa soon or later.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh....!!!
Haya Mama. Sijajua unapanic kisa nini wakati mimi nimeomba ushauri! ?
Rudia kusoma kwa makini uzi wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaudhi sana.how comes unawaponda watu hivyo? Kwanza tukirudi zamani Adam na Eva unaweza kutaka sote Ni kanmbika moja na Wewe Ndo Mnyakyusa.Unajiponda.Kama ulikerwa na wanyakyusa 2 au 3 Sio wote.This hatred will kill you one day.Watch out

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuanze wewe utakufa wewe kwa maana wewe ndio umenichimbishia kaburi nautaingia wewe bro au sisteri
 
Back
Top Bottom