Gwamahala
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 3,925
- 2,321
Wadau poleni na shughuli za hapa na pale.Poleni pia kwa mikikimikiki ya mwisho wa wiki.
Nina rafiki yangu kipenzi ambaye yeye sio memba wa JF ila siku moja moja huwa anapitia humu hususani hapa ktk Jukwaa letu tukufu la Mapenzi,na Mahusiano.Ishu yake ni hii:
Jamaa ana binamu yake ambaye wanapendana na walikuwa wana muda mrefu hawajaonana coz wanaishi na kufanya kazi ktk miji tofauti,huku Kenya.Siku za karibuni huyo rafiki yangu alienda kumtembelea binamu yake ambaye ameoa.Ila mke wa huyo binamu wa rafiki yangu anaishi mbali na mume wake,naye ni kwa sababu za kikazi pia coz alikosa nafasi ktk mji ule ambao mume wake anaishi na kufanya kazi.
Sasa huyo rafiki alipofika kwa huyo binamu yake akakuta huyo binamu yake ana GIRLFRIEND ambaye ndo jamaa anakula naye tunda.Huyu rafiki yangu yangu yeye hajaoa,na yule GIRLFRIEND wa binamu yake naye hajaolewa na wala hana mchumba.
Tatizo lilitokea pale tu rafiki yangu alipotambulishwa na binamu yake kwa yule msichana!Anasema alipata MSHITUKO wa mapenzi ambao haujawahi kumtokea ktk maisha yake,ila alijaribu kupuuzia sana akiamini kuwa itakwisha.Kwa kuwa alikwenda pale akiwa likizo na initially walishakubaliana na ndugu yake kuwa angemalizia likizo yake pale pale ilibidi aendelee kukaa pale kama walivyokubaliana.
Kadri siku zilivyokuwa zinaenda hali ya jamaa ilikuwa inabadilika sana kihisia juu ya yule msichana kiasi kwamba ikafika muda rafiki yangu akawa anajisikia very jelousy wale wawili wanapokuwa ktk mapozi ya kimapenzi!
Siku moja rafiki yangu ikabidi amwambie msichana jinsi anavyojisikia,msichana alishtuka sana na akamwambia ni kitu ambacho hakiwezekani coz hao wanaume wote wawili ni ndugu.Msichana akamwambia rafiki yangu kuwa anahofia kwamba anaweza kuwakosanisha,hivyo haitawezekana hata kidogo.
Basi rafiki yangu akaomba angalau apewe DENDA tu,msichana akakubali na baada ya hapo jamaa akaomba hug:Akapewa!Ikawa kila siku jamaa anaenda kwa msichana kwa siri afu anakula denda na hugs basi ila TUNDA akawa ananyimwa kabisa.Na jamaa akavumilia coz anampenda sana msichana kwa hiyo kila anachokatazwa anatii.Kwa kifupi wawili hao wame develop mapenzi mapenzi ya kushikanashikana tu na kunyonyana ndimi na matiti basi!
Sasa rafiki yangu ndo akanipigia simu akanipa story ili nimshauri,na mimi kwa kuwa najua humu JF kuna ma-great thinkers nikaona niimwage ili muweze kushauri huyu kijana coz yupo ktk CROSS-ROADS!
Nimeandika kwa kirefu ili iweze kueleweka vizuri coz mimi mwenyewe jamaa aliponipia tuliongea almost masaa manne.
Natanguliza shukrani kwa niaba ya rafiki yangu.