Nampenda girlfriend wa binamu yangu,nifanyeje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nampenda girlfriend wa binamu yangu,nifanyeje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gwamahala, Nov 22, 2010.

 1. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,583
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Wadau poleni na shughuli za hapa na pale.Poleni pia kwa mikikimikiki ya mwisho wa wiki.
  Nina rafiki yangu kipenzi ambaye yeye sio memba wa JF ila siku moja moja huwa anapitia humu hususani hapa ktk Jukwaa letu tukufu la Mapenzi,na Mahusiano.Ishu yake ni hii:
  Jamaa ana binamu yake ambaye wanapendana na walikuwa wana muda mrefu hawajaonana coz wanaishi na kufanya kazi ktk miji tofauti,huku Kenya.Siku za karibuni huyo rafiki yangu alienda kumtembelea binamu yake ambaye ameoa.Ila mke wa huyo binamu wa rafiki yangu anaishi mbali na mume wake,naye ni kwa sababu za kikazi pia coz alikosa nafasi ktk mji ule ambao mume wake anaishi na kufanya kazi.
  Sasa huyo rafiki alipofika kwa huyo binamu yake akakuta huyo binamu yake ana GIRLFRIEND ambaye ndo jamaa anakula naye tunda.Huyu rafiki yangu yangu yeye hajaoa,na yule GIRLFRIEND wa binamu yake naye hajaolewa na wala hana mchumba.
  Tatizo lilitokea pale tu rafiki yangu alipotambulishwa na binamu yake kwa yule msichana!Anasema alipata MSHITUKO wa mapenzi ambao haujawahi kumtokea ktk maisha yake,ila alijaribu kupuuzia sana akiamini kuwa itakwisha.Kwa kuwa alikwenda pale akiwa likizo na initially walishakubaliana na ndugu yake kuwa angemalizia likizo yake pale pale ilibidi aendelee kukaa pale kama walivyokubaliana.
  Kadri siku zilivyokuwa zinaenda hali ya jamaa ilikuwa inabadilika sana kihisia juu ya yule msichana kiasi kwamba ikafika muda rafiki yangu akawa anajisikia very jelousy wale wawili wanapokuwa ktk mapozi ya kimapenzi!
  Siku moja rafiki yangu ikabidi amwambie msichana jinsi anavyojisikia,msichana alishtuka sana na akamwambia ni kitu ambacho hakiwezekani coz hao wanaume wote wawili ni ndugu.Msichana akamwambia rafiki yangu kuwa anahofia kwamba anaweza kuwakosanisha,hivyo haitawezekana hata kidogo.
  Basi rafiki yangu akaomba angalau apewe DENDA tu,msichana akakubali na baada ya hapo jamaa akaomba hug:Akapewa!Ikawa kila siku jamaa anaenda kwa msichana kwa siri afu anakula denda na hugs basi ila TUNDA akawa ananyimwa kabisa.Na jamaa akavumilia coz anampenda sana msichana kwa hiyo kila anachokatazwa anatii.Kwa kifupi wawili hao wame develop mapenzi mapenzi ya kushikanashikana tu na kunyonyana ndimi na matiti basi!
  Sasa rafiki yangu ndo akanipigia simu akanipa story ili nimshauri,na mimi kwa kuwa najua humu JF kuna ma-great thinkers nikaona niimwage ili muweze kushauri huyu kijana coz yupo ktk CROSS-ROADS!
  Nimeandika kwa kirefu ili iweze kueleweka vizuri coz mimi mwenyewe jamaa aliponipia tuliongea almost masaa manne.
  Natanguliza shukrani kwa niaba ya rafiki yangu.
   
 2. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Yani hii ndio kitu ya kuweka kwenye jukwaa la uchaguzi??
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Labda wakati anaposti alikuwa anapiga hii kitu :A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  story yako inavutia lakini jukwaa hili silo.......mwambie huyo jamaa yako avute kitu aweke ndani coz yule binamu hawezi kumuoa huyo msichana
   
 5. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  huo ubazazi tu huna lolote....kwanza hujampenda umemtamani.....halafu fikiria kama jamaa yako angempenda demu wako ungejisikiaje? achana na hizo issue mademu kibao tu...
   
 6. M

  MUSINGA JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  Miafrica sijui ikoje,Mitanzania kula vya wenzao,Minaigeria kuvunja mahusiano ya wenzao kwa kupeleka umbea huku na huko ggrrrrrr,tutaendelea lini
   
 7. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,583
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Sorry wakuu,it was a technical error ndo maana nikajikuta nimeipost ktk jukwaa la Uchaguzi.
  Lakini nawashukuru MODS coz wamerekebisha fasta.Meanwhile nashukuru kwa wale wote ambao wameshaanza kutoa ushauri.
  Tafadhalini ndugu zangu huyu rafiki yangu mpaka akaamua kui-expose hii ishu yake ana shida kweli ya ushauri.Naomba tujaribu kumshauri ndugu yetu kiupole na kiundugu,kwa dhati coz haya mambo yapo na yanatokea.Matusi siyo mazuri ndugu zangu,kama unaona swala ni la kipuuzi unaliacha kuliko kutukana,great thinkers dont do that.Naamini humu JF kuna wanasaikolojia ambao wanaweza kutoa msaada mzuri tu coz sio mara yangu ya kwanza kuona misaada mizuri ya kimawazo inatolewa humu!
  Karibuni...
   
 8. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #8
  Nov 22, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hakuna mapenzi hapo. na huyo rafiki yako jihadhari hata na GF/mke wako, ukimtambulisha tu kosa
   
 9. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  huyu anatafuta huruma tu ya wananchi,
  wamwambie ni sawa ,ahalalishe umala** wake!

  mwambie jamaa yako,imekula kwake...:bump:
   
 10. RR

  RR JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Mahugs na madenda, bila bayolojia...
   
 11. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mzee tangu lini KITUMBUA kikalambwa lambwa tu? Kwani huyo mtoto mchanga? Maana hata watoto wenye magego tu hukivunja kitumbua na kukimumunya sasa unaponiambia mzee mzima anasimama kula DENDA na kutomasa CHUCHU sipati picha.

  Raha ya kitumbua UKITAFUNE bwana ujue sukari imo au la.
   
 12. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #12
  Nov 23, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Yaani unataka ushauriwe jinsi ya kumshawishi binti ili ukazini naye!?
   
 13. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #13
  Nov 23, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Mshikaji naona hapa unatupiga changa la macho bwana aishie kula denda na kushika chuchu tu. No huo ni uongo mkubwa haiwezekani wewe!!!! Hizo sehemu zenyewe ulizotaja ndo zinaleta ra** halafu eti waishie hapo HAPANA. SIJAKUB ALIANA NA HILO. BIG NOO
   
 14. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kwanza story yenyewe ni yako mwenyewe....! Halafu unamsingizia mwingine (eti rafiki yako...!)....! Aidha, jaribu kumuomba ambane mzee with her naked mapaja....! Au muombe amshike mzee mithili ya kufinyanga with her naked hands...! Bila shaka utamshawishi kisaikoloji zaidi na huenda ukafanikiwa...!
   
Loading...