Nampenda binti wa kitajiri ila ana kiburi, jeuri na dharau. Je, nimuoe?

emoji28.png
emoji28.png
emoji28.png
duh

Sasa unataka kuoa sababu ya hali ya kwao ya kiuchumi? Umempendea pesa aisee🤔nashauri muoe mtu ambaye unampenda/mnapendana kama ni pesa mtatafuta za kwenu hata ukifa watoto wataishi na mama yao na pesa mlizotafuta. Usijilazimishe kwa mtu unayehisi humpendi, ndoa ni kifungo cha maisha kile usijekujuta bure.
Nimekuelewa ndugu
 
Kama wanawake....
Wanavumilia....
1. Kuparamiwa tu bila kupata utamu wotewote kitandani
2. Kupigwa kila siku.
3. Kunyanyaswa
4. Na mengine mengii
Kwasababu ya HELA.

Wewe ni nani hata usivumilie.

#YNWA
Tena asilimia kubwa wanavumilia yote na hata hizo Hela hakuna !!
 
Tayari ishajionesha Ni nyoka huyo
Epuka huyo Anza kupunguza mishe nae polepole
Ila sio kumwacha ghafla
Yeye mwenyewe atakuacha na utajinasua
 
Habari za uzima ndugu, nina binti mmoja nipo nae kwenye mahusiano. Huyu binti kiukweli kabisa kutoka moyoni ni binti ambaye si wife material (kwangu), ila kuna kitu huwa nakiwaza sana kichwani.

Huyu binti kwao ni watu wenye uwezo mkubwa sana kipesa, yaani wana pesa sana sana sana wameiacha familia yangu kiuchumi kwa asilimia kama 75%.

Nina kazi yangu na nina shughuli zangu zingine za kunifanya niishi mjini bila shida yeyote ile lakini kuna muda wazo kichwani linaniambia kwamba, nimuoe huyu huyu nimzalishe pia nikiwa na uhakika wa asilimia 100% watoto wataishi kwenye good-life hata kama ikitokea mungu amenichukua.

Nikiwa nawaza hivyo roho yangu inashindwa kunifanya nimuache huyu binti, ila ni binti mwenye kiburi, jeuri, dharau na mambo mengine mengi tu ila ndio nipo naye.

Naombeni ushauri wenu wa dhati ndugu zangu, ili nichukue maamuzi sahihi kabisa.
Pole Sana mkuu,

Nimekupa pole kwasababu lengo lako kwanza siyo kuoa Bali unataka mtu wa kukusitiri..

Kiufupi nimesoma Uzi wako kwa asilimia zote umekuwa obsessed na ukwasi wa kwao na huyo binti, nikukumbushe tu kuwa Mali za kwao na binti siyo zake, na haziwezi kuwa zako au zenu automatically.....

Umezungumzia siyo wife material, umefanya vizuri kugundua hili mapema wengi wanaoa kwa kukurupuka baadaye ndo anakuja kugundua hakuoa wife material.... Sasa Kama wewe umegundua mwanamke siyo material ya mke ni kwanini uende ukajitumbukize sehemu ukateseke kwanmaisha yako yote kisa tamaa ya Mali mkuu???

Mwanamke akishagundua udhaifu wako kwamba umekuwa naye kwasababu ya Hali ya kwao atakusumbua Sana na ndoa siyo kitu Cha kujaribu na kurisk maisha kisa tu una guarantee ya watoto wako kuishia vizuri siku ukiondoka duniani, je Mungu akaamua kumchukua yeye kwanza huoni kwamba utakuwa umebet patupu..

Mkuu nikashauri tu Kama mwanamke Hana sifa za wife material huyo Hagai automatically..

Pili huwezi kuona kwa kutegemea Mali za ukweni kwako, kuna wanaume wengi wanateseka na hizi ndoa kwasababu tu Waliwaza Mali za kwao mke sasa hivi wamegeuka watumwa wa ukweni kwao..

Achana na wazo Hilo tafuta wife material mzee hata kama anauchumi wa kawaida na kwao hakuna kitu. Ndoa ni ya watu wawili na siyo zaidi.
 
Kama utamuoa kwasababu watoto wataishi kwenye good life ukifa sawa, nina uhakika utakufa mapema zaidi kwa tabia za huyo mwanamke...hakuna mwanaume rijali ambaye atakubali dharau,kejeli,kebehi,utovu wa nidhamu kwa mke wake hakuna na kama wapo ndio hawa marioo wa mjini, Sasa kwakuwa naww utaenda kuwa marioo basi kifo kitakuwa karibu nawe maana sononi zote zitakuwa zako..

Komaa kama mwanaume na ulichonacho hata kama kiduchu,.maana heri ya nusu shari kuliko shari kamili.
Umemaliza kila kitu, Kama Ni kuelewa Atakuwa ameelewa.
 
P
Habari za uzima ndugu, nina binti mmoja nipo nae kwenye mahusiano. Huyu binti kiukweli kabisa kutoka moyoni ni binti ambaye si wife material (kwangu), ila kuna kitu huwa nakiwaza sana kichwani.

Huyu binti kwao ni watu wenye uwezo mkubwa sana kipesa, yaani wana pesa sana sana sana wameiacha familia yangu kiuchumi kwa asilimia kama 75%.

Nina kazi yangu na nina shughuli zangu zingine za kunifanya niishi mjini bila shida yeyote ile lakini kuna muda wazo kichwani linaniambia kwamba, nimuoe huyu huyu nimzalishe pia nikiwa na uhakika wa asilimia 100% watoto wataishi kwenye good-life hata kama ikitokea mungu amenichukua.

Nikiwa nawaza hivyo roho yangu inashindwa kunifanya nimuache huyu binti, ila ni binti mwenye kiburi, jeuri, dharau na mambo mengine mengi tu ila ndio nipo naye.

Naombeni ushauri wenu wa dhati ndugu zangu, ili nichukue maamuzi sahihi kabisa.
Pole Sana Kaka angu nataka nikufahamishe kwamba mapenzi ya dhati so uchumi,cheo Wala vitu Bali Ni upendo watoto hawatapata Shida ndio lakini watakosa malezi ya upande mmoja ambayo yanaweza kusababishwa kwa kuachana Jambo Hilo litawapatia Shida Sana watoto nakuanza kujilaumu nakukosa misingi Bora ya malezi ndipo tunapata watt kwao Ni matajili lakin wavuta bangi na wanajiuza pia Ivo basi angalia vzr mazr na mabaya ya mke wako ndipo uamue ufanye Nini kwakuzingatia amani ya moyo na watoto mtakao zaa Asante
 
Yaani mkuu unaoa mtu mwenye dharau, jeuri sababu tu kwao ni matajiri? Nimeona kama hauko serious hivi, mwanaume unatakiwa kupambana kwa ajili ya kesho yako na watoto wako acha woga, hata ukifa basi utakua umeacha miradi itayoendelezwa na hao watoto wako na mama yao.

Oa mtu mnayependana na mtakayeheshimiana, ndoa ni Kifungo cha maisha kile ohooo
 
Habari za uzima ndugu, nina binti mmoja nipo nae kwenye mahusiano. Huyu binti kiukweli kabisa kutoka moyoni ni binti ambaye si wife material (kwangu), ila kuna kitu huwa nakiwaza sana kichwani.

Huyu binti kwao ni watu wenye uwezo mkubwa sana kipesa, yaani wana pesa sana sana sana wameiacha familia yangu kiuchumi kwa asilimia kama 75%.

Nina kazi yangu na nina shughuli zangu zingine za kunifanya niishi mjini bila shida yeyote ile lakini kuna muda wazo kichwani linaniambia kwamba, nimuoe huyu huyu nimzalishe pia nikiwa na uhakika wa asilimia 100% watoto wataishi kwenye good-life hata kama ikitokea mungu amenichukua.

Nikiwa nawaza hivyo roho yangu inashindwa kunifanya nimuache huyu binti, ila ni binti mwenye kiburi, jeuri, dharau na mambo mengine mengi tu ila ndio nipo naye.

Naombeni ushauri wenu wa dhati ndugu zangu, ili nichukue maamuzi sahihi kabisa.
Wonders shall never end unanchesesha haswa unatafuta mke au urahisi wa maisha? Na hapo uliposema kuwa unamishe zako zonakuweka mjini LOL una elements za umariooo
Imagine wanaume wote wangekuwa na akili kisoda kama yako
 
Habari za uzima ndugu, nina binti mmoja nipo nae kwenye mahusiano. Huyu binti kiukweli kabisa kutoka moyoni ni binti ambaye si wife material (kwangu), ila kuna kitu huwa nakiwaza sana kichwani.

Huyu binti kwao ni watu wenye uwezo mkubwa sana kipesa, yaani wana pesa sana sana sana wameiacha familia yangu kiuchumi kwa asilimia kama 75%.

Nina kazi yangu na nina shughuli zangu zingine za kunifanya niishi mjini bila shida yeyote ile lakini kuna muda wazo kichwani linaniambia kwamba, nimuoe huyu huyu nimzalishe pia nikiwa na uhakika wa asilimia 100% watoto wataishi kwenye good-life hata kama ikitokea mungu amenichukua.

Nikiwa nawaza hivyo roho yangu inashindwa kunifanya nimuache huyu binti, ila ni binti mwenye kiburi, jeuri, dharau na mambo mengine mengi tu ila ndio nipo naye.

Naombeni ushauri wenu wa dhati ndugu zangu, ili nichukue maamuzi sahihi kabisa.
Fata kile ambacho moyo wako unakwambia cos ndo ukweli,kama unataka uoe ili watoto waishi vzr pindi ukifa upo sahihi ila fikiria kipindi utachokuwa hai,nyumba yako utaiona kama kuzimu ya duniani.....
 
Back
Top Bottom