Namna zilivyo kucha za vidole vya mikononi: Zinaeleza aina ya maradhi uliyonayo

Random

JF-Expert Member
Jan 8, 2017
791
740
Salaam Tz

Siku hizi teknolojua zimekuwa sana kias cha kuwezesha tafit nyingi mno katika jamii ikiwepo Afya n.k

Kila tafiti ina critics zake/yake lkn em tuangalie uhusiano uliopo baina ya kucha za vile vya mikono (kimuonekano na baadhi ya maradhi yanayohusianishwa), wataalam wa afya hapa JF mfunguke zaidi juu ya aina hiz za viashiria na maradhi tajwa, lkn pia muhusika ajiangalie/amuangalie mgonjwa flan na kucha zake kama znahusiana

Picha mwishoni imefupisha/kusanya

1. Upinde au mistari miwili meupe inayokatisha ktkt ya kucha hii inaashiria kuwa muhisika ana maradhi ya INI AU FIGO (au vyote)

2. Kucha ilipinda kidogo kuelekea chini kutoka ilipojilaza kucha huashiria maradhi kama ya MOYO, MAPAFU, INI, UTUMBO NA UKIMWI

3. Utepe mpana mwekundu uliofifia kwwenye kucha kitoka kulia kwenda kuchoto au mfano kucha iliyopata jeraha hii inaashiria vitu kama upungufu wa madini ya zinc, KISUKARI, MISHIPS MODOGODOGO YA DAM

4. Kucha ilio kama kijiko kilichokuwa flat au kilichobinuka kidogo kias cha kuatuamisha/beba tone la maji, hii huashiria muhusika ana upungufu mkubwa wa MADINI YA CHUMA Anemia na kuwa karibu mno na KEMIKALI au ana TRAUMA

5. Kucha nyeupe Sahani yenye utepe uliofifia au mweusi mwishoni, hii huashiria maradhi kama INI, MOYO, KISUKARI NA UKIMWI
f16e3102f16de109b202d3a496200b1f.jpg
ecc3421ce62505dce2c94dd5fc3ab011.jpg
0e7b7a1487534826fc9b6c0dd04ae96a.jpg
 
Back
Top Bottom