Namna yakubadilisha muonekano wako(To look in really men in LEATHER Jacket)

Churchboy

Member
Aug 2, 2020
58
29
Habar za wakat uu mim ni mshaur wa maswala mazima ya fashion and life style leo napenda kuongelea leather jacket iz ni jacket ambazo kwa mwanaume yoyote kwenye collection yanguo zako nakushaur uwe hata na moja leather jacket kwa maeneo ya Dar kwa sabu mara nying huwa nijoto umaweza ukawa unavaa mida ya jion ukilinganisha na mchana lakin ni koti ambayo
Kwanza haipitwi na fashion miaka na miaka is look fashionable.

Pia inakufanya kuwa more fashion nakukupa muonekano wakiume na ii unaweza valia boot inakuwa poa sana na simple T-shirt black or white combination ii ni nzur sana
IMG_6695.jpg

Nashauri kwa mazingira ya Dar usivae muda wa mchana kwa sabu ya hali ya hewa ya koto kuwa kali ila kwamikoa ya Arusha,Mosh na mbeya uu muonekano ni mzur araf pia kwa wale ambao wanafanya ya investment maybe katika biashara itakufanya kupunguza matumiz ya kununua mda wote nguo,u look simple but classic.
 
Habar za wakat uu mim ni mshaur wa maswala mazima ya fashion and life style leo napenda kuongelea leather jacket iz ni jacket ambazo kwa mwanaume yoyote kwenye collection yanguo zako nakushaur uwe hata na moja leather jacket kwa maeneo ya Dar kwa sabu mara nying huwa nijoto umaweza ukawa unavaa mida ya jion ukilinganisha na mchana lakin ni koti ambayo
Asante kwa kutuelimisha. Je, unaweza kupata picha za wabongo waliovaa hivi?

Ushauri
Kwakuwa unapenda masuala haya ambayo yanakukutanisha na hadhira kubwa kama hapa JF, jitahidi kujifunza lugha unayoitumia. Nikiangalia sentensi zako ni ndefu mno, hakuna vituo. Unakuwa na sentensi changamano zisizo na ulazima na hazipangwi vema. Aidha, neno HALAFU unandika ARAF. Nijuavyo, fani hii inahitaji sana lugha fasaha. Unaweza kuliona ni dogo, lakini lina athari kubwa sana kwa kile unachokifanya.

Ninawasilisha
 
Habar za wakat uu mim ni mshaur wa maswala mazima ya fashion and life style leo napenda kuongelea leatherjacket iz ni jacket ambazo kwa mwanaume yoyote kwenye collection yanguo zako nakushaur uwe hata na moja leather jacket kwa maeneo ya Dar kwa sabu mara nying huwa nijoto umaweza ukawa unavaa mida ya jion uk
Napenda leather Jacket, Napenda boots pia na vyote vipo.
 
Napenda leather Jacket, Napenda boots pia na vyote vipo.
Ndugu, wewe huwa unayanunua wapi? Ninafahamu kwa hapa tz, ya ukweli ni mtumbani. Lakini mimi huwa sipati slim fit kali mtumbani. Wenzangu mnazipata wapi? Mengi ninakutana nayo ni yale yametunatuna balaa. Utasema unafanya biashara ya mbao Makete-Ilembula -Dar. Aisee!
 
Mimi ndio huwa muuzaji wa izi leather jacket,zile original kabisa ninazo tunaweza kuwasiliana pm,au uchukue ii namba yangu tuwasiliane.
0677988671.
 
Picha ninazo mkuu nashkulu kwa ushauri pia ,izi leather jacket huwa ninazo naziuza zile original,tunaweza kuwasiliana ukipenda uni pm.
Asante. Hapa ORIGINALITY unamaanisha nini? Yani una koti mpya kutoka kiwandani ama una makoti ya mtumba?
 
Unamaanisha nini ukisema 'Inakufanya uonekane more fashion'?
 
Unamaanisha nini ukisema 'Inakufanya uonekane more fashion'?

Namaanisha kuwa izi leather jacket ni most fashion style, ambayo watu wengi huwa hawazivai labda hawazifaamu vizur lakin material yaliyotumika kutengeneza izi cout ni zile zenye ubora wa juu tofauti na koti za aina yoyote zile unazozifaam na zinavutia mno hata kwa kuziangalia tu,.
 
Ndugu, wewe huwa unayanunua wapi? Ninafahamu kwa hapa tz, ya ukweli ni mtumbani. Lakini mimi huwa sipati slim fit kali mtumbani. Wenzangu mnazipata wapi? Mengi ninakutana nayo ni yale yametunatuna balaa. Utasema unafanya biashara ya mbao Makete-Ilembula -Dar. Aisee!
 
Habar za wakat uu mim ni mshaur wa maswala mazima ya fashion and life style leo napenda kuongelea leather jacket iz ni jacket ambazo kwa mwanaume yoyote kwenye collection yanguo zako nakushaur uwe hata na moja
Mm nazikubali leather jacket za brown, ila sijawahi kuziona madukani😧
images.jpeg
 
Back
Top Bottom