Namna yakubadilisha muonekano wako(To look in really men in LEATHER Jacket)

Ndugu, wewe huwa unayanunua wapi? Ninafahamu kwa hapa tz, ya ukweli ni mtumbani. Lakini mimi huwa sipati slim fit kali mtumbani. Wenzangu mnazipata wapi? Mengi ninakutana nayo ni yale yametunatuna balaa. Utasema unafanya biashara ya mbao Makete-Ilembula -Dar. Aisee!

Nenda woolworths kuna wakati wanakua nayo ila bei ujipange kisawasawa
 
But kwa bei nzur nakushaur pia huwa yanaanzia $20 but ni bora uka invest kununua kitu chenye ubora na ambacho kitadumu uzuri wa aya makoti tunasema ni none-outditated fashion halitawai kupitwa na wakati hata in 7 years will look still fashionable
Ko nakushauli invest katika quality nzuri hautajutia
 
Back
Top Bottom