Namna ya ufugaji wa nguruwe na kuku wa kienyeji

Daah! kumbe ndo yule jamaa aliesema ana nguruwe 30 na kila siku anachinja mmoja
 
Ndo yeye na anadai kwao kigoma anauza kilo elfu kumi sasa hao nguruwe 30 hawaishi tu na kila siku anachinja
 
Mmmmh
Maandishi watu wanasoma saana. Lkn lengo hawafikii. Kikubwa ni Shamba darasa Broh. Haya atakaye nunua kitabu utamtumiaje kama yuko mbali nawe. Cha msingi Fanya hay a

Andika yaliyomo
Omba email na utume bila malipo mbele
Eleza jinsi kitabu kitakavyo mfikia aliye mbali nawe
.
Ukitanguliza hela mbele utaonekanika tapeli. Ni hayo. Kama nimekukwaza nisamehe
 
NAOMBA MAJIBU YA MASWALI YAFUATAYO: andika majibu KWELI au SI KWELI
=> kuku wa kienyeji hutaga wastani wa mayai 72 kwa mwaka?
=> utumiaji wa jani la ALOVERA husaidia kwa 60% magonjwa ya kuku kama mdondo nk?
=> kuku wa kienyeji sehemu za joto huanza kutaga baada ya miezi 5 au 6 wakati sehemu za baridi ni miez 7 au 8?
=> nyama ya kuku wa kienyeji ni tamu sana?
=> kufuga kuku wa kienyeji kwa njia za kienyeji ni hasara kubwa sana ?
SWALI LA PILI: UNAFUGA NGURUWE AINA/SPICIES ZIPI? WANAZAA WATOTO WANGAPI KWA MZAO MMOJA?
nimependa sana hii
 
SI KWELI
KWELI (tukiwa wadogo kuku wakiumwa ugonjwa wowte tuliwapa hiyo majani wakapona)
KWELI
KWELI ni Tamu hasa
SI KWELI
 
watu wanataka shamba darasa tuje tuone unavyofuga na mtirirko wa tiba unavyowapa, mambo ya vitabu yamepitwa na wakati,usikute hujui hata kama kuku huwa wanataga
Vitabu kupitwa na wakati sina hakika mkuu wangu, japo mtoa mada hajaeleza vizuri akaeleweka kiasi cha kumshawishi mtu kunua hicho kitabu anachosema kakiandika.....
 
Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe

Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....

Click link ifuatayo kujiunga......

Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI

TSA- PIG FARMING
 
Nimejaribu mara nyingi namna ya kuingia kupitia hii link naona inagoma, niunge 0764255990
 
Mbona haikubali mkuu
Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe

Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....

Click link ifuatayo kujiunga......

Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI

TSA- PIG FARMING
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom