Namna ya kuunganisha simu za kichina kwenye internet... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namna ya kuunganisha simu za kichina kwenye internet...

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Rasib, Oct 23, 2012.

 1. Rasib

  Rasib JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Khabari wadau! Kwa wenye ujuz wa kuweza kuunganisha internet katika simu zifuatazo naomba anisaidie nokia, sumsang, tecno....lengo ni kuanzisha kabiashara kakuunganisha internet kwenye simu hzo....
  Najua wengine mtakuja na negative idea karibu, pia wenye roho ya kunisaidia watakuja na productive idea! Msaada jamani...thnx
   
 2. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,978
  Likes Received: 6,621
  Trophy Points: 280
  tuma internet kwenda 232 kwa airtel. mia
   
 3. Rasib

  Rasib JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Thnx! Kwa simu zote mkuu?
   
 4. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,357
  Likes Received: 2,986
  Trophy Points: 280
  voda ni 15300
   
Loading...