Namna ya kuunganisha line na simu call

mandela1

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
837
600
Hey jf naombeni msaada wenu wandugu kama kuna mtaalam wa IT anielekeze namna gani ya kuhack mawasiliano kwa maana akipigiwa mtu simu mfano wife na mtu mwngine basi namm nipate kujua kwa kuisikia ikiita na wakiongoea
Akipigiwa tu na mm simu yangu iwe inaita na akipokea na mm nisikie mazungumzo yao plz niko kwny upelelezi mkubwa msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una moyo usije ukapotea jukwaani hapa, kama umemuona kabadilika mtoe out kamweleze mabadiliko yake hupendezwi naye umwambie unataka aweje mtu mzima mwelewa atajirekebisha tu
Kuna watu muhimu wanakutegemea acha kujitafutia maradhi yasiyo na lazima
 
Siamini hilo coz wanadamu hamuambiliki kwan mara ngapi bibble inasema tusayanya haya nasitunazidi kuyafanya wap point yako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hey jf naombeni msaada wenu wandugu kama kuna mtaalam wa IT anielekeze namna gani ya kuhack mawasiliano kwa maana akipigiwa mtu simu mfano wife na mtu mwngine basi namm nipate kujua kwa kuisikia ikiita na wakiongoea
Akipigiwa tu na mm simu yangu iwe inaita na akipokea na mm nisikie mazungumzo yao plz niko kwny upelelezi mkubwa msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kumfuatilia mtu ambaye mmekutana tayali mkiwa watu wazima. Halafu unafahamu ana namba ngapi ambazo huzijui. Tafuta pesa mkuu, achana na kufuatilia mwanamke.
 
kah jamaa fanya kazi tu,Uongeze kipato. hapo utapoteza muda. Kama unajua ni mtu mzima na unaona kashindwa kujiheshimu kwenye ndoa hata ukimfuatilia mawasiliano sio njia ya kumbadili,aamue kubadilika mwenywe
 
Una moyo usije ukapotea jukwaani hapa, kama umemuona kabadilika mtoe out kamweleze mabadiliko yake hupendezwi naye umwambie unataka aweje mtu mzima mwelewa atajirekebisha tu
Kuna watu muhimu wanakutegemea acha kujitafutia maradhi yasiyo na lazima
Mtu mzima hapangwi mueleze asijeachia watu matatizo huku duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una moyo usije ukapotea jukwaani hapa, kama umemuona kabadilika mtoe out kamweleze mabadiliko yake hupendezwi naye umwambie unataka aweje mtu mzima mwelewa atajirekebisha tu
Kuna watu muhimu wanakutegemea acha kujitafutia maradhi yasiyo na lazima
Sonia...
 
Back
Top Bottom