Namna ya kutumia free basis

Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
59,410
119,112
Hello,
Naomba mnisaidie namna ya kucontrol data usage, yamenifika hapa. Kama siku tano hivi nilijiunga kifurushi chenye GB 1.5 jana zikawa zimeisha, nikashangaa sana nikasema anyway labda kuna mahali nimekosea. Jana tena nimejiunga kifurushi hichohicho nashangaa leo kimeisha nimeshtuka sana maana hata YouTube sijaingia kwenda kuchungulia kwenye data usage nikaona app inayoongoza kula data ni Jf, hii Jf imeanza lini kula data kama insta? Mbona siku za nyuma nilikuwa na uwezo wa kutamba na mb 10 siku nzima ni nini kinafanyika siku hizi? Naomba mnisaidie au mnifundishe kutumia free basics
 
Asante boss lakini nikitaka kuongeza nikisearch Jf haipo
tumia neno jamii

Capture.PNG
 
angalia matumiz yako
Mkuu niangalieje matumizi nimekwambia nimeangalia nimekuta Jf ndio inanimalizia bundle, ninachoshindwa kuelewa ni kuwa siku za nyuma Jf nilikuwa natumia mb kidogo sana sasa hivi GB inaisha?
 
Hongera kwa muanzisha uzi na wachangiaji hasa dronedrake nilikua najua kwakutumia eatel huwez kuingia jf kwakutumia free basics mana nilikua siion kwene menu kwaiyo ilikua inanilazimu nikitaka kuingia jf kwa kutumia free basics nilazima nifanye interchange yadata toka eatel to tigo kumbe ilikua nikitendo cha kuadd tu mwee.!
 
Aisee hata mimi nashukru sana nimikua cjui hii kitu aisee
Hongera kwa muanzisha uzi na wachangiaji hasa dronedrake nilikua najua kwakutumia eatel huwez kuingia jf kwakutumia free basics mana nilikua siion kwene menu kwaiyo ilikua inanilazimu nikitaka kuingia jf kwa kutumia free basics nilazima nifanye interchange yadata toka eatel to tigo kumbe ilikua nikitendo cha kuadd tu mwee.!
 
Ni saiti na mitandao mingine ya kijamii inayopatikama kwenye hiyo free basics jmn maana nmeipenda natamani hata insta na mitandao kama WhatsApp iingizwe humo tu enjoy maana. Maisha yenyewe sio poa.
Screenshot_20190621-203447.jpeg
 
free basic yenyewe nashindwa kwenda page kwa mpangilio mfno nikikuta page ipo tano ngumu kurudi ya kwanza
 
free basic yenyewe nashindwa kwenda page kwa mpangilio mfno nikikuta page ipo tano ngumu kurudi ya kwanza
Mbona rahisi tu mkuu tena kuna option yakukuwezesha kuchagua unataka kwenda page yangapi "chakufanya unaenda juu au chini yapage uliyopo kwene yale maneno ya 1 ...16 NEXT sasa ww unagusa ivo vidoti itakuletea kibox chakuandika page unayotaka kwenda ukiandika namba ya page alaf unairuhusu ''GO'' itakupeleka moja kwamoja kwene chaguzi lako
 
Back
Top Bottom