Namna ya kutengeneza lotion za kudamshi na serum yake

sherberry

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
306
362
Habari jf
Nahitaji msaada wenu wa jinsi ya kutengeneza lotion zile wanaita za kudamshi, lengo hasa ni kwa ajili ya ujasiriamali..nitashukuru endapo atajitokeza mtu na kunifundisha..please
 
Kuna lotion za aina 3:

Kuna zile za kudamshi kua mweupe sana

Kuna zile za kudamshi kun'gaa kidogo

Kuna zile za kudamshi za kukupa glowing skin

Unataka ipi apo?
 
Kuna lotion za aina 3:

Kuna zile za kudamshi kua mweupe sana

Kuna zile za kudamshi kun'gaa kidogo

Kuna zile za kudamshi za kukupa glowing skin

Unataka ipi apo?
Ya kwanza ya kua mweupe sana
Na hiyo ya glowing skin dear nisaidie kama unajua
 
Nenda google kuna maelezo yote kwa vitendo kabisa
M pia nimejifunzia huko ila bado ya kutoa sugu
Alovera gel 4tsp
Vitamin e capsule 4
Maxiwhite serum yenye kojic
Orange ess oil 1tsp
Sandalwood ess oil 1tsp
Carrot ess.oil 1tsp
Tea tree ess oil 1tsp
 
Habari jf
Nahitaji msaada wenu wa jinsi ya kutengeneza lotion zile wanaita za kudamshi, lengo hasa ni kwa ajili ya ujasiriamali..nitashukuru endapo atajitokeza mtu na kunifundisha..please
Serum ya sugu hiyo dear
 
Back
Top Bottom