Namna ya kutambua mawasiliano kwa njia ya simu 1 kwenda nyingine

nzovwe

Senior Member
Aug 15, 2013
118
30
Nahitaji kujua mawasilano ya mke wangu yanayofanyika kwenye simu yake ya mkononi, yaani akitumiwa message kwenye simu yake iingie na kwenye simu yangu, pia akipigiwa simu na mtu mwngne simu iweze kuita na kwangu ila nisiweze kuipokea na atakapoipokea akianza mazungumzo na aliyempigia simu nami niwe naweza kusikiliza maongezi yao kupitia simu yangu.
Ombi langu ni kuelekezwa namna ya kuunganisha hizi laini mbili ya mke wangu na ya kwangu pasipo kumjulisha mke wangu kwamba naunganisha simu ziwe zinatoa taarifa, kama kuna mtu yeyote anaejua anielekeze au tuwasiliane kupitia namba yangu ya simu. Nitashukuru sana kwa kupatiwa ufumbuzi maana nimejaribu mda mrefu hili zoezi lakini nimeshindwa kufanikiwa. Msaada waweza ku comment au msaada mzuri waweza kunistua kupitia namba 0756831508. Asanteni!
 
lengo,nia na dhumuni ni nn hasa mkuu?..kuna vitu umeona haviendi sawa?.
 
Kaeeni chini kwanza , muongee, mwambie kabisa siku hizi sikuelewi katika matumizi yako ya simu!!!
 
Kabla ya kumuoa alikuwa anatumia simu??? . Nakama alikuwa anatumia sa mwambie kabisa usiogope, mwambie hivii " wakati nakuoa nilikukuta na simu yako, sa siwezi kukufundisha matumizi ya simu, hapo lazima akae chini ajiulize kwanini kaniambia hivi... Wee kuwa mchangamfu tu atajibadilisha tabia yake
 
Kwani kalazimishwa kumuoa? I hate watu wa namna hiii. Kama kweli ni mkeo wewe tafuta namna ya kumtunza na family kwa ujumla pamoja na kutafuta miradi. Huo muda wa kumfuatilia ungejikita kwenye miradi ungekuwa mbali. Just thinking loud
 
Ukiingilia mawasiliano yake anaweza hata kukushitaki, sheria hairuhusu hilo, mambo mengine ni kujitafutia pressure bure!
 
Nokia kwa kutumia Nokia pc suite uki connect kwa njia ya Bluetooth unaweza ku view sms na call records ila swali linakuja :
1. je mke wako yupo tayari kutumia simu ya Nokia?
2. na je atakubali Bluetooth ya simu kuwa on muda wote?
 
Na kushauri uongee na shirika la mtandoa wa simu ya mke wako ukileta vielelezo vyako vyote na vya mke wako labda utapata kibali cha halalii ili wakusaidie Katika hilo fumanizi. .!Hata hivyo jaribu utumie call diversion katika simuyamke wako kuenda simu yako Pengine itakusaidia katika upekuzi wako lakini kumbuka unalotaka kufanya sio sahihi.unajjiingiza katika ugonjwa usiopata kipimo
 
Kwani kalazimishwa kumuoa? I hate watu wa namna hiii. Kama kweli ni mkeo wewe tafuta namna ya kumtunza na family kwa ujumla pamoja na kutafuta miradi. Huo muda wa kumfuatilia ungejikita kwenye miradi ungekuwa mbali. Just thinking loud

Sote atuwezi kujua Mapenzi yaliopo hapo juu.Labda anataka amrithishe kila kitu lakini anahitaji apate uthibitisho kama kweli mke wake anamjali
 
Sote atuwezi kujua Mapenzi yaliopo hapo juu.Labda anataka amrithishe kila kitu lakini anahitaji apate uthibitisho kama kweli mke wake anamjali

Hahahahhaahaa mpwa anatakiwa atumie formula hii hapa kwenye picha
 

Attachments

  • 1432389903365.jpg
    1432389903365.jpg
    28.3 KB · Views: 1,209
Download automati call record itakusaidia sana, maana usiku ukiwa home utaweza kusikilza simu zooote alizopiga na alizopigiwa
 
Mke wangu sio mtundu sana kwenye cm so nimemtegea automatic recording pale anapoonge na mtu na nikipata chans ya kuishika hua naskiliza alichoongea.. NIPRESHA MKUU ACHANA NA HZO MAMBO
 
Mi mke wangu niliwah pia kumfanyia hvyo hvyo kwenye call record mwisho wa cku ikawa ugomvi mana nilijua kila hatua yake mjomba acha inauna sana ni bora kama anakuheshim hafany mbele yako shukuru mungu.

Mana inauma yani kitu unakijua unamuuliza alf anakudanganya na bonge la tabasam kama hauna uvumilivu unaweza hata ukamuwekea sumu afe mana haina haja ya kulala na kuamka na mnafki adui wa kimya kimya ama kwel kikukacho kinguon mwako inauma sana.Wanawake hawachungiki ka kunguru
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom