Namna ya kutambua asali Feki Tafadhali soma


Seif Seyee

Seif Seyee

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Messages
471
Likes
132
Points
60
Seif Seyee

Seif Seyee

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2012
471 132 60
Maana sehemu nyingi hasa Kariakoo, wafanyabiashara wamekuwa wakiuza asali ambayo haina ubora kwa kuchanganya maji na sukari guru.Njia zifuatazo zitakusaidia

1.kwanza, chukua njiti ya kibiriti kisha ichovye sehemu yenye baruti kwenye asali unayotaka kuinunua, kisha iwashe njiti hiyo kwa kutumia kibiriti chako, ikiwaka, ujue hiyo ni asali kweli.

2. Pili, dondosha asali chini katika mchanga, ukiona sehemu ya mchanga iliyolowana ikijikusanya pamoja ujue hiyo nii asali orginal.

3.tatu, Chukua karatasi jeupe, dondoshea asali njia juu yake, kama ikichelewa kutokea upande wa pili, ujue hiyo asali safi na inafaaa kwa matumizi ya binaadamu.
Bado kuna njia nyingine ambayo hutumiwa na baadhi ya watu, kama vile kuimwaga katika kiganja cha mkono wako, ukiona tone la mwisho linabakia kwenye chupa kuja mkononi, hiyo ni asali nzuri. Pia wengine huangalia kama ikiwa kwenye chupa huwa inatengeneza alama yenye mfano wa korosho.
NB. Mimi nauza asali watu wanadai bei yangu ni kubwa lakini nakupa asali yenye uhakika nayote hayo nakuruhusu kupima. Maana asali nayouza mimi nimeshaipima kwa mashine baada ya kununua kwa mkulima.

Nyuki wadogo Bei ni 32,000/= kwa lita moja
Nyuki Wakubwa Bei ni 15,000/= kwa lita moja

Contact... 0689 55 44 38

Piga simu nikuletee popote ulipo. Asali safi na salama kwa matumizi ya afya yako
img-20160616-wa000-jpg.366723
 
manyike dede

manyike dede

Member
Joined
Jul 10, 2016
Messages
39
Likes
16
Points
15
Age
30
manyike dede

manyike dede

Member
Joined Jul 10, 2016
39 16 15
Hiyo bei ni katika ujazo gani
Nyoosha maelezo
 

Forum statistics

Threads 1,239,178
Members 476,441
Posts 29,344,816