Rutunga M
JF-Expert Member
- Mar 16, 2009
- 1,769
- 1,382
wakubwa.
kwenye simu zenye uwezo wa kufanya VIDEO CALL.Nawezaje kurekodi mtu kwenye computer.
nataka kujua ,je naweza kutumia any wire or device during calling ninarekodi maongezi
naomba wajuzi wanifahamishe.
lengo:nataka nimpigie mtu akiwa kwenye mkutano kwa video calling ili mkutano huo niweze kuurekodi live kwenye computer.
nitashukuru kujua maujanja