Namna ya kupata post

kilama

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
2,738
1,975
Wakuu habari za usiku...!!!
Jamani naomba msaada wa namna ya kupata au kusoma post zinazowekwa kwa namba, mfano kwa sasa nimeshindwa kusoma baadhi ya post za The bold kama vile mada ya Vipepeo Weusi: makakati 0034 hasa anaposema kasome post namba 9, 10 au kuendelea nimeshindwa kabisa kuzisoma naombeni msaada wenu kuuliza ndio kujua.
Asanteni...!!!
 
Duh mkuu kilichokushinda ni nini hasa,

post namba fulani ni kama comment namba fulani tu,

yaani mfano mimi nimecomment hapa basi hii ni post namba mbili,

so akisema post namba 1000 we scroll down mpaka uifikie namba hiyo.

sijui kama nimesaidia,nisamehe kwa utangulizi wangu.
 
Back
Top Bottom