Namna ya kupata ISBN number na copyright ya kitabu

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,319
4,089
Habari ndugu zangu. Mm ni mwalimu niliyeamua kuweka maarifa yangu na ya wanazuoni wengine katika kitabu ili kuwasaidia wanafunzi na waalimu katika kujifunzia na kufundishia. Kitabu ni kwa ajili ya kidato cha tatu na cha nne. Sasa naomba msaada wenu nifuate taratibu zipi ili nipate ISBN number na copyright ili kitabu changu kiingie sokoni??. Karibuni wanandugu mnielekeze.
 
Mkuu fika pale UDSM umpate Mhakiki atakuelekeza pia namna ya kupata ithibati
 
Hivi uandishi wa vitabu vya kitaaluma ni biashaqa inayolipa?
Offcoz ni namna ambavyo ww utatengeneza kwa kuzingatia kuhitajika kwake na marketing yake inaweza kukulipa. Lakini pia nzur kwa kukuongezea Cv.
 
Habari ndugu zangu. Mm ni mwalimu niliyeamua kuweka maarifa yangu na ya wanazuoni wengine katika kitabu ili kuwasaidia wanafunzi na waalimu katika kujifunzia na kufundishia. Kitabu ni kwa ajili ya kidato cha tatu na cha nne. Sasa naomba msaada wenu nifuate taratibu zipi ili nipate ISBN number na copyright ili kitabu changu kiingie sokoni??. Karibuni wanandugu mnielekeze.
ISBN zinatolewa na maktaba ya taifa, kama upo dar njoo inbox nipe namba yako nikuunganishe na watu waliochapisha vitabu vyao wakupe ABC
 
Back
Top Bottom