Namna ya kupata Funguo nyingine ya Sanduku la barua

King Victor

JF-Expert Member
Feb 19, 2016
463
293
Wakuu habari zenu.Jamani msaada kwa mtu anaefahamu namna ya kuomba funguo nyingine kwa sanduku la barua(posta) iliyopotea.
 
Katoe taarifa polisi kisha nenda posta uwaambie, utalipa fedha sio nyingi sana kisha wataweka kitasa kipya na kukupa nyingine tena 2 .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom