Namna ya kupanga division kwa matokeo ya wanafunzi kwa kutumia Excel

Naomba anayejua namna ya kupanga division kwa kutumia Excel anijulishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
O level template. ebusiness.excel@gmail.com /PM kama utahitaji
 
Ila mkuu naomba nikuulize PM kuhusu hizo excel.
 
Mimi naomba niweze kupata templates nzuri za kutengenezea ID CARD...

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia Ms publisher, kama ukihitaji automatic template naweza nikakutengenezea kwa maelewano. Unakuwa na sheet ya database ya wanafunzi then sheet inayofata inakuwa ndo ID template. Ukiingiza ID no, details za mwanafunzi na picha zinakuja automatically hivyo unakuwa unaprint kiurahisi (unaprint ID zaidi ya 100 ndani ya lisaa)
 
Ntakuona inbox

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom