Lengo la picha hasa sijalielewa,naona hapo kuna vitoweo viwili......
Hahahah, afu ndo jirani na ww,dah. Ama msafiri kafiri
hii Tabia ya kinadada kuacha kifua wazi naona imepamba moto sasa!
Mimi huchukia sana kusimama kwenye dala2, lakini kwa wadau wengine, safari ndefu kwao huwa fupi.. LOL!!