Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

Wakuu nahitaji namna ya kuondoa madoa madoa flani meusi hivi yanayotokea usoni hasa kwa akina dada/wamama, mwenye jufahamu naomba ujuzi wenu...!!!
Namna ya kuondoa ni kupata mafuta mazuri yatakayofaa ngoz yako bas, 0673216816
 
Chukua ukwaju chemsha mabaki yake paka usoni after kuchemsha yakae 20min osha maji ya, ukwaju weka kwenyekichupa tumia kama cleanser kilasiku asb na jioni na pia lazima uwe nakitu kimoja kuonshea uso sio sabuni ya kipande hapana yani variety of clening set km clear n clean, garnier kwa washing face utakayotumia asb na jioni pia epuka kugusa uso
 
Wakuu nahitaji namna ya kuondoa madoa madoa flani meusi hivi yanayotokea usoni hasa kwa akina dada/wamama, mwenye jufahamu naomba ujuzi wenu...!!!
Pole kuna na bidhaa za kampuni ya Oriflame, hizo zimetengenezwa kwa kutumia malighafi asilia.. Husaidia kuondoa madoa yute na hata chunusi bila kuichubua ng'ozi yako.. Ukihitaji wasiliana nami kwa simu namba 0672416294 ntakuelekeza bei na namna ya kupata
 
Tumia baking powder au baking soda changanya na maji ya limao koroga mchanganyiko huo subiri kwa dakika mbili then upake usoni kaa nao huo mchanganyiko usoni kwa muda wa dakika 15 then osha USO wako kwa maji ya uvuguvugu au maji ya baridi hii hata mm ilinisaidia sanaaa
Hii ni nzuri.Masahihisho. Baking powder ni tofauti na Baking Soda. Atumie Baking Soda na si Baking Powder.
 
Pole kuna na bidhaa za kampuni ya Oriflame, hizo zimetengenezwa kwa kutumia malighafi asilia.. Husaidia kuondoa madoa yute na hata chunusi bila kuichubua ng'ozi yako.. Ukihitaji wasiliana nami kwa simu namba 0672416294 ntakuelekeza bei na namna ya kupata
Hello usisite kunitafuta kwa simu namba 0672416294 ninayo mafuta kutoka Oriflame yatakusaidia bila kuchubua ngozi yako
 
Pole kuna na bidhaa za kampuni ya Oriflame, hizo zimetengenezwa kwa kutumia malighafi asilia.. Husaidia kuondoa madoa yute na hata chunusi bila kuichubua ng'ozi yako.. Ukihitaji wasiliana nami kwa simu namba 0672416294 ntakuelekeza bei na namna ya kupata
Kuna ile even out oxygen booster iliniharibu ngozi sina hamu nayo. Huyo alinipima ngozi yangu akanipa 3in one cleanser na hiyo oxygen booster,nilitumia tu baada ya masaa kama 12 uso wote ulikiwa mchungu kama pilipili,nilitokewa na vichunusi vidogovidogo vinauma huthubutu hata kugua uso. Mwanzo vilikuwa vyekundu but baadae vinakuwa vyeusi tii, hizi bidhaa sio reliable kama mnavyozitangaza.
 
Hapana, kuna tatizo moja. Yupo mwanachama anakupa bidhaa ili auze tu apate pesa bila kujua bidhaa, kazi yake na itumike kwa ngozi gani.
Na yupo mteja ametumia cream imemchubua na hasemi ukweli.

Hizi ni changamoto zinazotokea katika biadhara hii na si wote wanapewa bidhaa kimakosa kwa sababu tu ya maslahi..

Pole kwa tatizo hilo lakini kwangu bado sijapata mwenye feedback kama hii. Huwa natoa bidhaa kulingana na tatizo hata kama ni ya bei ya chini.

Karibu
 
Back
Top Bottom