Namna ya kumjua mpenzi wako kama amekusaliti

ana macho mawili
miguu miwili
mikono miwili
masikio mawili
pua moja
mdomo mmoja
vidole 20
ulimi wake uko ndani ya mdomo
macho yake yana mboni
ana nyusi
ana tumbo just to mention a few!
ukiona hvyo tu ujue mpenzi wako amekusaliti!
 
HUNIJUI,

Pressure za nini unataka? Kwani huoni raha ya kuwa katika hayo mahusiano? Maana unaweza jivuruga sana ikitokea ni kweli ama ni uongo hizo hisia zako. Uking'ang'ana kutaka kujua kama anakusaliti ama lah, itafika wakati utamvaa! na ikitokea sio kweli utaweka dosari kubwa katika mahusiano yenu... Na ikitokea kuwa ni kweli umeshajua ni hatua gani unataka kuchukua?? Utamuacha/Utalaumu/Utamuadhibu ama una mpango wa kufanya nini? Hayo yote ni msingi kwa wewe kutaka kujua...

Hata hivyo dalili hutofautiana kwa mwanamke kama ilivyo kwa mwanaume... (Huu ndio muono wangu);

Kwa baadhi ya wanaume

  1. Mapenzi huongezeka kwa mke.
  2. Anaweza kuwa na amani, furaha, kupita kiwango cha siku zote bila sababu zozote ambazo zipo wazi kwako kuwa imemfanya kuwa hivo.
  3. Kutokuwa huru na simu yake kama awali (hii ni baadhi sana)
  4. Hasira zisizo za msingi (kuchukia mambo madogo lawama kibao!)
  5. Saa ingine hata tendo la ndoa kuongezeka ndani ya nyumba kuliko kawaida.

Kwa baadhi ya wanawake

  1. Kuongezeka dharau kwa mpenzi wake na kutojali kwa yale alikua akijali awali.
  2. Ghafla kuanza kujali muonekano wake kupita kiwango cha siku zote, anataka ahakikishe she is looking good kila mara.
  3. Yupo busy na simu yake, mwanamke mara nyingi kama ana mtu wake wa karibu ambae anawasiliana nae mara kwa mara simu haikai mbali. Kama ulikuwa ukipiga simu kumpata shuguli tokana na kuitelekeza, siku hizi ni kila ukimpigia yupo karibu na simu yake.
  4. Kutokukufuatilia wala kujali nini unafanya, urudi saa 9 usiku, ule ama usile haijalishi mradi unatimiza wajibu wako (take note hii hata yule ambae hatoki na kachoka tabia zako pia hufanya hivi)
 
Last edited by a moderator:
AshaDii hizo dalili nimezikubali...

Nimemkumbuka Kongosho yeye anasema anamkazia macho tu kama muhongo atamjua. Lol.

Tatizo hizi zote ni dalili tu na uwezi ku act with confidence...mpaka utafute facts. Ukweli ndio utawaweka huru.

HUNIJUI,

Pressure za nini unataka? Kwani huoni raha ya kuwa katika hayo mahusiano? Maana unaweza jivuruga sana ikitokea ni kweli ama ni uongo hizo hisia zako. Uking'ang'ana kutaka kujua kama anakusaliti ama lah, itafika wakati utamvaa! na ikitokea sio kweli utaweka dosari kubwa katika mahusiano yenu... Na ikitokea kuwa ni kweli umeshajua ni hatua gani unataka kuchukua?? Utamuacha/Utalaumu/Utamuadhibu ama una mpango wa kufanya nini? Hayo yote ni msingi kwa wewe kutaka kujua...

Hata hivyo dalili hutofautiana kwa mwanamke kama ilivyo kwa mwanaume... (Huu ndio muono wangu);

Kwa baadhi ya wanaume

  1. Mapenzi huongezeka kwa mke.
  2. Anaweza kuwa na amani, furaha, kupita kiwango cha siku zote bila sababu zozote ambazo zipo wazi kwako kuwa imemfanya kuwa hivo.
  3. Kutokuwa huru na simu yake kama awali (hii ni baadhi sana)
  4. Hasira zisizo za msingi (kuchukia mambo madogo lawama kibao!)
  5. Saa ingine hata tendo la ndoa kuongezeka ndani ya nyumba kuliko kawaida.

Kwa baadhi ya wanawake

  1. Kuongezeka dharau kwa mpenzi wake na kutojali kwa yale alikua akijali awali.
  2. Ghafla kuanza kujali muonekano wake kupita kiwango cha siku zote, anataka ahakikishe she is looking good kila mara.
  3. Yupo busy na simu yake, mwanamke mara nyingi kama ana mtu wake wa karibu ambae anawasiliana nae mara kwa mara simu haikai mbali. Kama ulikuwa ukipiga simu kumpata shuguli tokana na kuitelekeza, siku hizi ni kila ukimpigia yupo karibu na simu yake.
  4. Kutokukufuatilia wala kujali nini unafanya, urudi saa 9 usiku, ule ama usile haijalishi mradi unatimiza wajibu wako (take note hii hata yule ambae hatoki na kachoka tabia zako pia hufanya hivi)
 
Si rahisi kumjua kama amekusaliti lakini ni rahisi kumjua kama anakusaliti !!! na kwa kiasi kukubwa alioongea ashadii
yanasaidia. Ya undani zaidi tunayahifadhi kwa wakati huu !!!!
 
Back
Top Bottom