Namna ya kukabili tatizo la kuwahi kufika kileleni na kushindwa kuendelea

1: Punguza wasiwasi:
Hebu lifikirie tendo kama njia ya kujifurahisha sio njia pekee ya kutafuta kutoa mbegu, hii itakusaidia kuondoa mawazo ya kutafuta mbegu na kuchelewa kumaliza.

2: Fanya taratibu:
Picha za ngono zinadanganya sana watu kwamba kulala na mwanamke lazima ufanye kwa haraka haraka kama mbwa. HAPANA; ukifanya taratibu ndio njia nzuri ya kumfikisha mwenzako na wewe kuchelewa kufika kileleni.

4: Badilisha staili:
Ile style ya zamani ya kumlalia mwanamke kwa juu{missionary position} inaleta msuguano mkubwa kwenye kichwa cha uuume hivyo itakufanya ufike haraka sana.

5: Tumia style ya wewe mwanaume kutangulia chini afu mwanamke juu au kulala kwa upande wote mnaangalia upande mmoja hii itakusaidia sana kuchelewa

6: Toa mawazo kwamba unafanya ngono:
Hebu jaribu kufikiria mambo mengine ya kikazi au masomo wakati unafanya tendo hilo, hii itakupunguzia hisia kali za mapenzi na kuchelewa kufika.

6: Fanya na kuacha:
hii ni ile hali ya kuzuia msuguano pale unapoona unakaribia kutoa mbegu kwa kama sekundi 30 kisha unaanza upya. Hakikisha haufiki “point of no return”. pointi ambayo huwezi kujizuia tena kumaliza.
Namba 5 sikubaliani na wewe mkuu. Hiyo style ya kuangalia upande mmoja inaleta msisimko wa hali ya juu san
 
Stress zinasababisha sana hii kitu Af pia Kama Mwili hauna mood ya sex Usilazimishe Kuna siku Nilikuwa sina moody kabisa ila Nikafosi kwasababu manzi alikuwa anasafiri, Nikaingia mzigoni kupump one two Nahisi ngoma hizo Najitahidi kucontrol lakin wapi Najitahidi kupiga slow lakin wap, Nikajitahidi kutupa mawazo mbali lakini Wapi unahisi kabisa Ngoma hizo Nitaona kujitesa kwa kazi gani Nikaachia Na hapo Manzi ndo kwa yeye ndo anaanza nilipata aibu sana
Si bora yako,Kuna pisi kali ilikuja geto mara ya Kwanza kama welcome form one ,mara ya pili nikaona ngoja nijaribu zali Kwa maana nili mpania sana , na siku iyo nikaona ngoja niji bless na mtoto mzuri Kwa sababu ilikuwa birthday yangu

*Makosa niliyofanya kabla hajafika
1.nilimpania sana tangu asubuhi baada ya kunipa taarifa atakuja jion

2.nilikuwa na njaa na nilifanikiwa kula msosi jion nusu sa kabla hanafika,na nilikuwa nikila chakula sishibi ,hakishuki vizuri tabu tupu Yan ,nikaongeza sahani ya pili lakini Bado,

3.mwili ulikuwa hautulii ,mara natetemeka ,mara jasho haliishi,mara nakojoa hovyo kama mara Saba ,mara niende haja kubwa Kama mara nne.

*Aibu niliyoipata baada ya mtoto kufika baada ya kula chakula na story .

1.nilijaribu zali ,mtoto akakubali ila Bado nilijiona Bado mwili hauna hisia Kwa sababu ya msosi niliona haijafanya kazi ,na mwili ulikuwa hauna nguvu.

2.baada ya touch za hapa na pale mtoto akaitaji pipe ,akamshika jogoo kumbe Wala Hana habari ,amelala yooo.

Na hapo mtoto ananiambia nini hichi,mara na jaribu kuamsha jogoo hataki kuamka ,jaribu vuta hisia wapi,mtoto anaharaka anadai anachelewa home na Giza lishaingia nikaona tu hapa sio bahati yangu.
Nikamsindikiza bila mafanikio ya ushindi,na akanicheka hatari
 
1: Punguza wasiwasi:
Hebu lifikirie tendo kama njia ya kujifurahisha sio njia pekee ya kutafuta kutoa mbegu, hii itakusaidia kuondoa mawazo ya kutafuta mbegu na kuchelewa kumaliza.

2: Fanya taratibu:
Picha za ngono zinadanganya sana watu kwamba kulala na mwanamke lazima ufanye kwa haraka haraka kama mbwa. HAPANA; ukifanya taratibu ndio njia nzuri ya kumfikisha mwenzako na wewe kuchelewa kufika kileleni.

4: Badilisha staili:
Ile style ya zamani ya kumlalia mwanamke kwa juu{missionary position} inaleta msuguano mkubwa kwenye kichwa cha uuume hivyo itakufanya ufike haraka sana.

5: Tumia style ya wewe mwanaume kutangulia chini afu mwanamke juu au kulala kwa upande wote mnaangalia upande mmoja hii itakusaidia sana kuchelewa

6: Toa mawazo kwamba unafanya ngono:
Hebu jaribu kufikiria mambo mengine ya kikazi au masomo wakati unafanya tendo hilo, hii itakupunguzia hisia kali za mapenzi na kuchelewa kufika.

6: Fanya na kuacha:
hii ni ile hali ya kuzuia msuguano pale unapoona unakaribia kutoa mbegu kwa kama sekundi 30 kisha unaanza upya. Hakikisha haufiki “point of no return”. pointi ambayo huwezi kujizuia tena kumaliza.
Noted

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unakula mlo kamili lakini ?
Au mihogo na maji.... !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom